Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nasikia huko PUT IN kashasema anataka maeneo mengine zaidi

UKRAINE haitakuepo tena hapa DUNIANI

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha kama Donbas ambayo alikuepo tangu 2014 mpaka sasa ameshindwa kuiteka yote hayo maeneo mengine ubavu wa kuyakamata anautoa wapi?!

Kherson aliidaka yote fastafasta mwezi March baada ya wanajeshi wa Ukraine kuretreat nayo ameitema kama Bungo,na ndio ulikua mji pekee ambao ameuteka kwa 100.

Mpaka sasa Russia kakamata

Zaporizhzhia 50%
Donbass 50% (hapo plus maeneo ambayo alikuepo tangu 2014)

Kherson 70%

Ni miezi kumi sasa vitani,hayo mengine Labda baada ya miaka 20[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaha nyie ndo mlikua mnatuambia Russia inatumia silaha za zamani?! Kumbe vitu vipya kabisa kutoka kiwandani lkn still havifui dafu mbele ya vijana shupavu wa Zelenksy [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli nyani katema bungo [emoji23][emoji23][emoji23]
 

Ndo maana mnaambiwa msome kwa makini kabla ya kujibu

Kwahiyo kabla ya Vita Pentagon walikua na program maalum za kuwafunza wanajeshi ndani ya ardhi ya Marekani au Ujerumani?!

Kabla ya Vita Ukraine ilikua na silaha kama HIMARS?!

Kabla ya Vita uliona program ya mafunzo kwa wanajeshi wa Ukraine ndani ya ardhi ya UK?!

Kabla ya Vita mafunzo yalifanyika Ukraine na yalikua kujilinda zaidi hata silaha zilikua za kujilinda ndio maana baada ya Putin kuvamia kila siku Zelenksy alikua akililia apewe offensive weapons. Hata hizo Javellin na NLAWS zilianza kupelekwa Kwa wingi baada ya Putin kusambaza wanajeshi pamoja na zana za kivita kwenye mipaka ya Ukraine.

Msomage vizuri kabla ya kumjibu Mtu!
 
[emoji298]️Slovakia considers producing ammunition for Ukraine.

Slovak Foreign Minister Rastislav Kačer said on Dec. 8 that the country is considering launching production of 120 and 155mm projectiles for Ukraine.
 
[emoji298]️Series of explosions reported at air base in occupied Berdiansk, Zaporizhzhia Oblast.

Three powerful explosions were heard at an air base in Russian-occupied Berdiansk on Dec. 8, Viktoriia Halitsina, head of the city military administration, told Suspilne.
 
[emoji298]️ Media: Turkish energy company to supply Ukraine with electricity via Romania, Moldova.

Karpowership intends to provide Ukraine with electricity through floating power plants in Romania and Moldova, Anadolu news agency reported, citing the company’s president, Zeynep Harezi.

“We are negotiating around 300-400 megawatts of capacity,” Harezi said. “This capacity can provide electricity to one million households.” The supply of electricity can start within a month, according to Harezi.
 
Kiwanda cha silaha kikiendelea na uzalishaji nchini Urusi.hakika Urusi sio Zimbambwe[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2439737
Una ushabiki wa kitoto sana., unadhani vita ni kuwa na uwezo wa kupata silaha tu.., unafikiri hayo madini yanachimbwa tu kama unavyochimba muhogo?
Umeshajiuliza ghalama zinazotumika kuwatibu majeruhi wanaojeruhiwa huko front line Kwa mamia na maelf kila kukicha??
Umeshajiuliza vifaa vinavyoharibiwa (unrepairable) kila kukicha vina thamani kiasi gani?
Umeshajiuliza ghalama zinazotumika kufanya matengenezo ya zana za kivita zinazopata damage huko front line? Au unafikiri ni sawa na jinsi unavyofanya service ya IST?
Umeshajiuliza ghalama zinazotumika kwenye mapishi ya askari zaidi ya laki 5 walioko kwenye uwanja wa vita? Fikiria unavyoangaika kuihudumia hiyo familia yako ya watu wanne kisha ulinganishe kuwahudumia askari zaidi ya laki 5 walioko front line mchana na usiku kwa chakula Bora malazi, na vifaa vingine muhimu.., kumbuka asikari huwezi kumpikia kama unawapikia wafungwa gerezani..
Umeshajiuliza ghalama za pensheni zinazotumika kuwalipa wajane na yatima walioachwa na askari waliolambishwa mchanga kwenye uwanja wa vita?..,au unafikiri Hawa wanaachwa tu?


Wewe upo hapa kama shabiki tu lakini vita ni zaidi ya unavyoijua.., inashangaza unatuletea picha ya kiwanda Cha silaha kama udhibitisho kwamba urusi anaiweza vita..,


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Bado unaendelea na ushamba wako?
 
We unaona ni kipi hapo Urusi hana[emoji12][emoji12]
 
Wewe ndo hauna akili hata kidogo.cha kwanza vita ili iwepo unaitaji silaha, kama silaha hamna basi hata siku 3 haitofika vita itakuwa imeisha.

Cha pili ni chakula, na vitani inatumika sana ngano.je Urusi hana ngano?

Cha tatu ni mafuta, kama mafuta hauna basi vita itakuwa ngumu sana kwako.je Urusi hana mafuta?.

Acha ushamba wewe Urusi sio Zimbambwe[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Putin is in Bishkek today. At the EEC summit, he announced the key priorities of Russia's chairmanship in the organization, which will be transferred to it in 2023 - Moscow will host the summit in May.

The EAEU leaders, among other issues, will discuss the formation of a common gas market and approve the launch of negotiations on the creation of a free trade zone with the UAE. The Kremlin does not rule out that the topic of the triple gas union between Russia, Kazakhstan and Uzbekistan will also be touched upon on the sidelines of the summit. Possible contact with the Prime Minister of Uzbekistan Aripov.

Putin will also hold a meeting with Armenian Prime Minister Pashinyan in Bishkek.
 
🇫🇷🚫🔌💡⚡️RTE: in Paris, about 125 000 homes were left without power due to the accident

About 125 000 houses in Paris on Thursday evening were temporarily without power due to a transformer failure, at the moment the situation has normalized, the French electricity grid operator RTE reported.

Earlier it became known that after the accident, which occurred at about 22:15 local time, houses in the south-east of Paris were left without power.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…