President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Tulieni hapo Sasa Ili muendelee kupokea za uso kutoka Kwa kamanda zelensiky [emoji16]We unaona ni kipi hapo Urusi hana[emoji12][emoji12]
UnyelileTulieni hapo Sasa Ili muendelee kupokea za uso kutoka Kwa kamanda zelensiky [emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Tatizo hapa naonekana kujibizana na mpumbavu,huna uwezo wa kujenga hoja,ni vema ukaficha upumbavu wako!Wewe ndo hauna akili hata kidogo.cha kwanza vita ili iwepo unaitaji silaha, kama silaha hamna basi hata siku 3 haitofika vita itakuwa imeisha.
Cha pili ni chakula, na vitani inatumika sana ngano.je Urusi hana ngano?
Cha tatu ni mafuta, kama mafuta hauna basi vita itakuwa ngumu sana kwako.je Urusi hana mafuta?.
Acha ushamba wewe Urusi sio Zimbambwe[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Vipi, hutaki kuleta maelezo yako binafsi kuhusu Ushoga?
Makoye sengi.Tatizo hapa naonekana kujibizana na mpumbavu,huna uwezo wa kujenga hoja,ni vema ukaficha upumbavu wako!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
We ni mweu mmoja tu wala hakuna unachojua zaidi ya kuimba nyimbo za mipasho.kenge wa blue[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tatizo hapa naonekana kujibizana na mpumbavu,huna uwezo wa kujenga hoja,ni vema ukaficha upumbavu wako!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app