Haijalishi..hatupo.kwenye ushabiki wa Simba na Yanga humu....Cha msingi akili itawale zaidi, sio uongo na kudanganya nafsi...Kama kusoma hujui Tazama hata picha.Superpower wenu wa mchongo ulimi nje[emoji848]
It's not the plane, it's the pilot - Top Gun, Maverick.Sawa baba nimekubali, ila nakumbuka siku moja tulikuwa na Cpt. Mmoja mstaafu wa tpdf kitaaluma ni Mhandisi wa Fighter jets alibobea sana katika fighter 6 za kichina na alikaa sana china enzi za teacher, kuna analysis alinipa kuhusu Eurofighter Typhoon na Dassault Refale aliniambia ukiachana na issue za armaments katika performance hizi jets hazina utofauti sanaa kihivyo na aliongezea kuwa yeye huwa anaamini katika performance ya rubani ndiyo anaweza amua matokeo vipi unazungumzia vipi hapo?
Jiji limeondokaSoledar iyo [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635] View attachment 2441059
Hapo pamekua pamoto sana kwa Ukraine, ukiona mpaka akaunti za Pro Ukraine wanakiri kuna many losses ujue mambo ni mazito kweli kweliSisi kazi yetu kukusanya habari na kuzileta hapa View attachment 2440286
F 22 Ni hazina ya Marekani.Hivi zile F-22 raptor ni unmanned?.. inatofauti gani na F-35?... Mbona haiuzwi ?
Ila hiyo F-35 haina tofauti Sana na Rafale ya Ufaransa...hata zile war games huonyesha tofauti ndogo Sana kati yao.
Ni 500,000 kijana,kwa sasa wapo mpakani mwa Belarus na Ukraine.Wanasubiri Jeshi la Anga liharibu miundo mbinu yote inayoweza kuiwezesha Ukraine kupigana Vita waingie kufagia.Believe me by Christmas Kyiv itakuwa imesha anguka.MARA WASEME WANASHINDA VITA , MARA WAOMBE MAONGEZI NA URUSI, UPANDE MWINGINE WAO WANASEMA WANAONDOA VIKOSI VYAO KUOGOPA WATU WATAPATA MADHALA KATIKA MJI COZ WATU NI WENGI, HAWA WANASEMA WAMEVIPIGA VIKOSI VYA URUSI.
TENA KUNA TAARIFA NIMEIONA WANAJESHI WA UKRAINE WANAOGOMBA KUINGIA KATIKA MJI WANAONA KAMA NI TRAP COZ VIKOSI VYA URUSI WAMEONDOKA WENYEWE.
HAKUNA MWENYE TAARIFA KAMILI KULE.
NA URUSI WAO WANAANDAA JESHINLA WATU ZAIDI YA 300,000 KWENDA UKRAINE.
AAAAA SUBIRI TUU TUONE WATAISHIAJE.
SIO KULETA TAARIFA ZISIZO ZA KWELI HUMU.
Ina nini cha ajabu zaidi ya F-35 au F-15 ?...F 22 Ni hazina ya Marekani.
Hili jiji wataishaHapo pamekua pamoto sana kwa Ukraine, ukiona mpaka akaunti za Pro Ukraine wanakiri kuna many losses ujue mambo ni mazito kweli kweliView attachment 2441229View attachment 2441231View attachment 2441232
Wenyewe wanapaita "Hell on earth" pamekua na mpambano mkali sana hapo na Ukraine anaonekana kuzidiwaHili jiji wataisha
Viva Russia piga hao jinsia moja