TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,646
- 28,747
Sema NATO yashambuliaUkraine yashambulia hotel iliyohifadhi mamia ya askari wa Urusi 🤔
.......
Ukraine strikes hotel housing dozens of Russian soldiers
Ukraine’s military struck a hotel complex housing dozens of Russian soldiers in the occupied city of Melitopol on Saturday night, reportedly using long-range artillery supplied by the United …thehill.com
Kwenye video iyo wana mifuko ila kwenye video yangu hakuna mifuko[emoji12][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23]KAMATA MWIZIIIIIII
Ya Kwanza ni picha yako ya magumashi uliyotuwekea JF
Ya pili ni picha (screenshot) toka kwenye video ambayo ni ya miezi 8 iliyopita.
Link nakuwekea hapo chini.
Военнослужащие ВСУ сдаются в плен российским военным
Nimekukamata White handed sio Red handed[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2446452View attachment 2446453
Bwana Utam
Ndio maana nimekwambia ni baadhi ya interceptions sio zote.Ukiangalia kwenye link zako hakuna hata Balistic 15.na hata kwenye tovuti ya Patriot hakuna hata balistic 20 wanazosema zimetungulia na patriot nchini Saudia.Balistic sio makombora ya mchezo mchezo.hata iran mwenyewe usikute makombola 300 ya balistic afikishi
Hahahaha nimeshakwambia Leo nimekudaka White handed sio red handed[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwenye video iyo wana mifuko ila kwenye video yangu hakuna mifuko[emoji12][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23]
Angalia vizuri video yangu kama inafanana na yakoKAMATA MWIZIIIIIII
Ya Kwanza ni picha yako ya magumashi uliyotuwekea JF
Ya pili ni picha (screenshot) toka kwenye video ambayo ni ya miezi 8 iliyopita.
Link nakuwekea hapo chini.
Военнослужащие ВСУ сдаются в плен российским военным
Nimekukamata White handed sio Red handed[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2446452View attachment 2446453
Bwana Utam
Mzee icho ni chanzo cha saudia wenyewe[emoji1787][emoji1787][emoji12][emoji12][emoji12]Ndio maana nimekwambia ni baadhi ya interceptions sio zote.
Hii ni taarifa (ya mwaka 2017) ya Raytheon ikionyesha Patriot imefanya zaidi ya interceptions 100 huko Saudia
Raytheon: Arab-operated Patriots intercepted over 100 tactical ballistic missiles since 2015
By Barbara Opall-Rome
Nov 14, 2017
Raytheon: Arab-operated Patriots intercepted over 100 tactical ballistic missiles since 2015
Iran ndo Taifa lenye Makombora mengi ya ballistic hapo middle east,Wana arsenal ya maelfu ya hayo Makombora yenye Range tofauti tofauti Short Range,Medium na Long Range.
Hizi ndo picha zako za mchongo ulizotuwekea.Angalia vizuri video yangu kama inafanana na yako
leta video kama iyo nimekwambia ili tujue kama naongopaHizi ndo picha zako za mchongo ulizotuwekea.
Au unataka kujikana?![emoji23]
Hata hii video yako uliyoweka ss hv nikisema nikae nitulieee nianze kutafuta ilipotokea Nina uhakika nayo itakua ya magumashiView attachment 2446465
Ww si ndo umetupa hii chai[emoji116] au sio ww?!Wewe utanipiga.nimekwambia leta taarifa ya iyo video
Patriot saves lives by downing more than 100 ballistic missiles in combatMzee icho ni chanzo cha saudia wenyewe[emoji1787][emoji1787][emoji12][emoji12][emoji12]
Mkuu,shikamoo!! Kwa kweli umewaweza Hawa jamaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Wakikujibu nitagPatriot inatumwa Ukraine kwa kuwa kweli inahitajika technically au kwa kuwa tu Zelensky kaiomba so inabidi apewe. Wataalam mtanisaidia. Patriot naiona sana kwenye kupambana na ballistic missiles sio cruise missiles ambazo ni subsonic na zinatembea kimo cha miti.. Kama Russia anatumia Kh-101 sana ni Patriot au Nasams ilipaswa kupewa kipaumbele?
Na kwenye hii tofuti wanasema kuwa Patriot imetungua makombora 100 ya balistic duniani.(yani kwenye vita zote ilizoshiriki na sio Saudia pekee) kama sijaelewa unaweza kunikosoaNdio maana nimekwambia ni baadhi ya interceptions sio zote.
Hii ni taarifa (ya mwaka 2017) ya Raytheon ikionyesha Patriot imefanya zaidi ya interceptions 100 huko Saudia
Raytheon: Arab-operated Patriots intercepted over 100 tactical ballistic missiles since 2015
By Barbara Opall-Rome
Nov 14, 2017
Raytheon: Arab-operated Patriots intercepted over 100 tactical ballistic missiles since 2015
Iran ndo Taifa lenye Makombora mengi ya ballistic hapo middle east,Wana arsenal ya maelfu ya hayo Makombora yenye Range tofauti tofauti Short Range,Medium na Long Range.
Kubali kwanza kwamba umetuletea picha za uongo za wanajeshi waliokisalimisha huko bakhumut.., baada ya hapo tuendelee na mengine [emoji16][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Mukuje huku[emoji23][emoji23][emoji23].ndugu zenu wanalalamika wametelekezwa na Zelensk
.
Maji na mafuta vinakaribia kujitenga
Ni sahihi. Vita ya Yemen imeanza 2015 tangu wakati huo Saudi pamoja na waarab wenzie akiwemo UAE wamekua wakitungua Tactical Ballistic Missiles za Houthi Kwa kutumia Patriot,hakuna mahali pengine duniani ambapo Patriot zilikua zinapambana na Ballistic Missiles Kwa kipindi hicho zaidi ya hapo Uarabuni.Na kwenye hii tofuti wanasema kuwa Patriot imetungua makombora 100 ya balistic duniani.(yani kwenye vita zote ilizoshiriki na sio Saudia pekee) kama sijaelewa unaweza kunikosoa
Nimemwambia nimetuma video asibitishe kuwa video ni ya zamaniKubali kwanza kwamba umetuletea picha za uongo za wanajeshi waliokisalimisha huko bakhumut.., baada ya hapo tuendelee na mengine [emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ndugu zenu wanaomba msaada maana mmewatelekeza[emoji635][emoji635][emoji23][emoji23][emoji23]Kubali kwanza kwamba umetuletea picha za uongo za wanajeshi waliokisalimisha huko bakhumut.., baada ya hapo tuendelee na mengine [emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Uko sahihi.Patriot inatumwa Ukraine kwa kuwa kweli inahitajika technically au kwa kuwa tu Zelensky kaiomba so inabidi apewe. Wataalam mtanisaidia. Patriot naiona sana kwenye kupambana na ballistic missiles sio cruise missiles ambazo ni subsonic na zinatembea kimo cha miti.. Kama Russia anatumia Kh-101 sana ni Patriot au Nasams ilipaswa kupewa kipaumbele?