Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Comment yako hyo hapo chini umesema kabisa hapo ni Bakhmut, wanajeshi wa Ukraine wakiwa wamedakwa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimemwambia nimetuma video asibitishe kuwa video ni ya zamani
Ndugu zenu wanaomba msaada huku jukwaani[emoji23][emoji23][emoji23].kama mna upendo wa kweli ni muda wa wewe na Kipanya44 kwenda frontComment yako hyo hapo chini umesema kabisa hapo ni Bakhmut, wanajeshi wa Ukraine wakiwa wamedakwa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2446489
Hujakoma tu kutuletea video za mchongo!!!!Ndugu zenu wanaomba msaada huku jukwaani[emoji23][emoji23][emoji23].kama mna upendo wa kweli ni muda wa wewe na Kipanya44 kwenda front
T14 Armata ...Patriot inatumwa Ukraine kwa kuwa kweli inahitajika technically au kwa kuwa tu Zelensky kaiomba so inabidi apewe. Wataalam mtanisaidia. Patriot naiona sana kwenye kupambana na ballistic missiles sio cruise missiles ambazo ni subsonic na zinatembea kimo cha miti.. Kama Russia anatumia Kh-101 sana ni Patriot au Nasams ilipaswa kupewa kipaumbele?
Wameanza vitisho vya kitoto[emoji23], wameshindwa kuzishambulia NASAMS ndo waje washambulie Patriots [emoji23]Urusi yasema itashambulia Patriot zitazosimikwa Ukraine
Sijajua watashambulia na nini wakati tayari Kyiv anakuwa na layer 2-3 za defenceWameanza vitisho vya kitoto[emoji23], wameshindwa kuzishambulia NASAMS ndo waje washambulie Patriots [emoji23]
Russia anao uwezo wa kuzishambulia hizo Patriot,lakini je ataweza kuzilocate wakati hana air superiority ndani ya Ukraine na hizo system ni highly mobile.Sijajua watashambulia na nini wakati tayari Kyiv anakuwa na layer 2-3 za defence
Na ndio maana Ukraine yuko mbio kutengeneza drones zenye payload kubwa na ziendazo mbali ili apeleke maumivu ndani ya moscow, sevastopol, caspian etcRussia anao uwezo wa kuzishambulia hizo Patriot,lakini je ataweza kuzilocate wakati hana air superiority ndani ya Ukraine na hizo system ni highly mobile.
Anaweza kutumia Hypersonic missiles au drone swarms maana patriot ni dhaifu dhidi ya drone.
Lakini pia patriot itakua ni hatari Kwa ndege za Urusi maana radar yake inaona mbali zaidi ya 100km.
Hata HIMARS alisema hivyohivyo matokeo yake Leo ni mwezi wa 10 haijaidaka hata mojaBREAKING: Russia says US-made Patriot air defense systems in Ukraine would be legitimate targets for the Russian military
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa iyi unawakana ndugu zako mbwana Axel. Unawakosea sana ndugu zako[emoji635][emoji635][emoji635][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hujakoma tu kutuletea video za mchongo!!!!
Waambie hao warusi wakachukue buku 7 zao baada ya kujirekodi huo upuuzi wao