Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russia na Leo kunaungua

[emoji298]️ A fire occurred at the oil plant in Angarsk, Russia, Russian media reports. Video from local social media.

[emoji117] Follow @Flash_news_ua

Watakwambia ni sabotage.., sidhani kama Kuna siku inapita bila kutokea sabotage huko urusi [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo huko ndio kupigana na Dunia?

BTW Israel anapeleka misaa Ukraine.

Ata hivo ni silaha Gani zinazopelekwa huko Ukraine na mataifa ya magharibi? Huyo tu mizinga na Himers?
 
Unaacha familia yako na mkeo unampigia saluti mwenzako ambaye familia yake na watoto wapo ikulu unaenda kufa. Kwa kweli vita vinapaswa kuwa na sababu ya msingi sana kinyume na hapo ni uonevu kwa askari.
Ni Bora kupigana kwa ajili ya kupigania ukombozi wa ardhi yako kuliko kupigana kwa ajili ya kutimiza matakwa ya mtu mmoja.., binafsi Niko tayari kuchukua silaha nionapo taifa langu linavamiwa, lakini siko tayari kwa kuutoa uhai wangu sadaka bila sababu za msingi,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Na Huyo Babu akisema lazima atimize
 
Zaidi ya Nchi 50+ zinapeleka misaada ya kijeshi,Fedha na wanajeshi ( mercenary) kwa Ukraine. Hii maana yake Urusi anafanya operation yake dhidi ya mataifa 50+ ndio maana Wananchi wa mataifa husika wanalia uchumi kuwa mgumu.
[emoji1787][emoji1787]

Watu Kwa kujifurahisha...

US taifa linaloongoza Kwa Uchumi duniani Leo wawe wanalia
 
Drone za Ukraine zimepiga tena base ndani ya Russia

[emoji837]A Ukrainian drone struck a Russian airbase in Kursk, close to the border with Ukraine, according to a senior Ukrainian official.

Follow all the latest updates on our Ukraine liveblog here [emoji3596]
telegraph.co.uk/world-news/202…
 
Kabisa boss. Jambazi akivamia nyumba yako usikimbie ukaicha familia yako. Simama nao ukiwalinda mpaka kufa. Ukikimbia wakafa wewe ukaishi utaishi maisha ya kuteseka kuliko kifo chenyewe.
 
Namuona super pawer akiendelea kuzoea sauti za milipuko katika mipaka yake..,hii ni aibu kubwa kwa kweli..,ikizingatiwa ya kwamba marekani ameshampa Ukraine '" go ahead"" kushambulia ndani ya mipaka ya Russia..,hii Inadhihilisha kwamba watu wamejipanga vya kutosha iwapo super pawer wa mchongo atajaribu kufurukuta,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hata jana tumeshinda

Sent using Jamii Forums mobile app

Haitokuja mshinde na tena mtalizwa na Croatia mfie mbali, hamna hata cha namba tatu, mlileta udini....yaani nililala kwa furaha sana jana...hehehe
Nasubiri kuchekelea kwa kichapo mtakachopata kwa Croatia....halafu nilicheka mlivyotoka bila kusujudu kama ilivyokua kawaida yenu.
 
Yaani wameshanipanga na majeshi yao yako tayari muda wowote. Hicho ndio walikua wanakifanya Kwa muda wote huu. Na sasa Ukraine ataanza kupeleka moto ndani ya Crimea na huko Russia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…