Jackal
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 10,258
- 14,106
Timu Putin wakiona haya mabandiko wanahisi matumbo ya kwenda msalani kwa dharura yakiwasumbua🤔Ninachokiona kikubwa zaidi ni kumruhusu Ukraine kushambulia ndani ya mipaka ya Russia..,hapa ndo patamu zaidi,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app