Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Su 35
FB_IMG_16708482513342773.jpg
 
As of October 2022, there were 729 F-35s in active service globally, including 184 that are assigned to training/conversation units. F-35 is set to dethrone the F-16 to become the world's most prolific fighter in the coming years. #avgeeks #aviation #aviationdaily #aviationlovers https://t.co/IJks3NnCVR
 
NINACHOKITABIRI USA ANAWEKA NO FLY-ZONE UKRAINE POLEPOLE NA KIMYA KIMYA YAANI ANAFUKUZA MWIZI KIMYAKIMYA.

URUSI ATAKUJA SHITUKIA UKRAINE HAKUINGILIKI TENA,

HIMMARS, NA SASA PATRIOTS, KESHO UJERUMANI ANALETA ZAKE, ITALIA NA UINGEREZA.

KUMRUHUSU UKRAINE KUPIGA NDANI YA MIPAKA YA URUSI INA MAANA KUBWA SANA.
N.B NASUBIRIA REACTION YA URUSI AMEJIPANGAJE HAPO MAANA NAAMINI INTELIJENSIA YAKE IPO VIZURI PIA.
Kwa maelezo Yako haya ,Sasa ni dhahiri Urusi hapigani na Ukraine tena.bali anapigana na NATO na west wote.
Kwa hiyo tukubali kua Urusi ni Supapawa wa ukweli .Urusi ni taifa kubwa.
 
Unajua mimi huwa sijadiliani na mbumbumbu kama wewe. Hapa hapa tunaongea facts issue zenu hizo peleka kwa wenzako wa facebook.

Nilikuuliza swali hivi USA anauchumi mkubwa kwa namna gani?
Asset or Liability?
Wewe unachojadili kitu Gani Cha maana hapa?

Ivi nyie prorussia hamuoni tu taifa lenu lilivo fail ktk Hii vita?

Vita ya kuchukua siku kadhaa Leo hii mmechukua miezi

Maeneo mliyoyachukua mnachapwa na kufurushwa

Leo Bado mnaona mnaongea fact?

Russia ni mbwa Koko tu
 
Jibu swali. Kama hujui nenda kanywe nchimpumu.
Je USA anauchumi mkubwa asset au liability!?

JIBU SWALI.
 
Hilo tamko la mwamba Putin linaishi hadi Leo,
Hakuna hata nchi moja ya west wala NATO iliyojaribu kuingia kumsaidia Ukraine moja kwa moja kama walivyojaribu kufanya Iraq dhidi ya Kuwait,
Somalia,Libya,Syria na huko Yugoslavia.
Ukweli silaha zinapelekwa Ukraine lakini Ukraine kapoteza mikoa karibu mitani,Kambi za jeshi zimasambaratishwa na askari kibao wametekwa na wengi kufa.
Aliposema nchi itakayoingila mzozo huu aliamaanisha nchi itakayoingila kijeshi kumsaidia Ukraine. Na hakuna hata nchi moja imeshingia kijeshi zaidi ya kuchangishana silaha.

Hata hapo juzi NATO walipopata fursa ya kuingilia kijeshi pale Poland ilipopigwa na roket na Ukraine kusema ni la Urusi bado NATO Mkuu alikataa ofa hiyo na kusema sio Urusi.
Hivyo USA walikataa katakata kua sio Urusi.
Cha ajabu hata Poland aliepigwa alisema sio Urusi.
Lkn Colin Powell Huku akijua anasema uongo aliwahi kuisingizia Iraq kua inamiliki WMD wakati haikua nazo masikini,na mwisho wake USA na washirika wake wakakusanyana na kwenda kuipiga Iraq.
Lkn kwa Urusi walipewa ofa na Ukraine kule Poland wakaikataa.
Unajua ni kwa Nini?
Ni kwa sababu ya tamko la Putin.
 
Mashabiki wa marekani mnaikumbuka hii machine ilivyofanywa na waajemi
View attachment 2447839
Umenikumbusha Live Another Day. Hapo ndio nikajua kumbe drones zinaweza kuwa hacked[emoji3]

Derrick Yates was a British computer hacker who was responsible for hacking a drone used by the U.S. military and causing the deaths of four soldiers, staging it as an act of friendly fire. Yates had also been in possession of a device that allowed him to hack into military drones, which he intended to sell to Margot Al-Harazi.
 
Haitokuja mshinde na tena mtalizwa na Croatia mfie mbali, hamna hata cha namba tatu, mlileta udini....yaani nililala kwa furaha sana jana...hehehe
Nasubiri kuchekelea kwa kichapo mtakachopata kwa Croatia....halafu nilicheka mlivyotoka bila kusujudu kama ilivyokua kawaida yenu.
Tulianza kushinda toka kuanza kuupinga ushoga nausagaji

Dini ndio mfumo wamaisha

Anzisha uzi huko tusichafue uzi huu pendwa tafadhali MKUU [emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NINACHOKITABIRI USA ANAWEKA NO FLY-ZONE UKRAINE POLEPOLE NA KIMYA KIMYA YAANI ANAFUKUZA MWIZI KIMYAKIMYA.

URUSI ATAKUJA SHITUKIA UKRAINE HAKUINGILIKI TENA,

HIMMARS, NA SASA PATRIOTS, KESHO UJERUMANI ANALETA ZAKE, ITALIA NA UINGEREZA.

KUMRUHUSU UKRAINE KUPIGA NDANI YA MIPAKA YA URUSI INA MAANA KUBWA SANA.
N.B NASUBIRIA REACTION YA URUSI AMEJIPANGAJE HAPO MAANA NAAMINI INTELIJENSIA YAKE IPO VIZURI PIA.
Kuekwa No fly zone UKRAINE hilo sahau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo tamko la mwamba Putin linaishi hadi Leo,
Hakuna hata nchi moja ya west wala NATO iliyojaribu kuingia kumsaidia Ukraine moja kwa moja kama walivyojaribu kufanya Iraq dhidi ya Kuwait,
Somalia,Libya,Syria na huko Yugoslavia.
Ukweli silaha zinapelekwa Ukraine lakini Ukraine kapoteza mikoa karibu mitani,Kambi za jeshi zimasambaratishwa na askari kibao wametekwa na wengi kufa.
Aliposema nchi itakayoingila mzozo huu aliamaanisha nchi itakayoingila kijeshi kumsaidia Ukraine. Na hakuna hata nchi moja imeshingia kijeshi zaidi ya kuchangishana silaha.

Hata hapo juzi NATO walipopata fursa ya kuingilia kijeshi pale Poland ilipopigwa na roket na Ukraine kusema ni la Urusi bado NATO Mkuu alikataa ofa hiyo na kusema sio Urusi.
Hivyo USA walikataa katakata kua sio Urusi.
Cha ajabu hata Poland aliepigwa alisema sio Urusi.
Lkn Colin Powell Huku akijua anasema uongo aliwahi kuisingizia Iraq kua inamiliki WMD wakati haikua nazo masikini,na mwisho wake USA na washirika wake wakakusanyana na kwenda kuipiga Iraq.
Lkn kwa Urusi walipewa ofa na Ukraine kule Poland wakaikataa.
Unajua ni kwa Nini?
Ni kwa sababu ya tamko la Putin.
Usijidangaye... Putin alisema nchi yoyote itakayo isaidia Ukraine ataishambulia

Misaada inapelekwa na inaingia Ukraine na Russia anaona hivi hivi km kidume kwanini asiishambulie hiyo misaada?

NATO ikisimama dhidi ya Russia yaani Russia ata wiki hawamalizi maana huu ndio umoja wenye nguvu kubwa Duniani na unajeshi la kisasa kabisa kenye silaha za kisasa na uzoefu mkubwa

Na hii vita inakoelekea ni mpk NATO waingie hapo huo ndio mpango na kidogo kidogo nchi za NATO zinaenda zinakamilisha maandalizi ya kuingilia huu mzozo...

Na Kwa taarifa ni kwamba US na washirika wake saizi wanaiona China ndio tishio. Na mpk mwaka 2035 China inaweza kufikisha vichwa vya nuclears 1500.

So Russia Wala hawampigii hesabu kabisa.
 
Back
Top Bottom