Inawezekana "uko sahihi" kwani wanaokufa ni Warusi tu tena Basi kwa maelfu...ila huko Ukraine waliokufa ni wachache tu chini ya 5000🤣😂🤣😂Inaonekana Warusi wengi wamekufa, kama alianza na 170,000
Akaita 300,000
Sasa tena anataka ongeza 200,000
Hii vita hii
Ni counter ya anazopewa na IranAiseee hizi zinapiga mpk 500km. Uingereza waziwahishe warusi wakazikwe[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii si ndo Ile inayoshushwa huko Ukraine kama kumbikumbi [emoji23][emoji23] kila ikijaribu kunusa airspace ya Ukraine haitoboi[emoji23] hamna ndege hapo
Kwa maelezo Yako haya ,Sasa ni dhahiri Urusi hapigani na Ukraine tena.bali anapigana na NATO na west wote.NINACHOKITABIRI USA ANAWEKA NO FLY-ZONE UKRAINE POLEPOLE NA KIMYA KIMYA YAANI ANAFUKUZA MWIZI KIMYAKIMYA.
URUSI ATAKUJA SHITUKIA UKRAINE HAKUINGILIKI TENA,
HIMMARS, NA SASA PATRIOTS, KESHO UJERUMANI ANALETA ZAKE, ITALIA NA UINGEREZA.
KUMRUHUSU UKRAINE KUPIGA NDANI YA MIPAKA YA URUSI INA MAANA KUBWA SANA.
N.B NASUBIRIA REACTION YA URUSI AMEJIPANGAJE HAPO MAANA NAAMINI INTELIJENSIA YAKE IPO VIZURI PIA.
SawaAmerica inaboresha silaha zake kila wakati
Patriots ziko Bora zaidi kuliko hizo S300 au 400 za Russia
Wewe unachojadili kitu Gani Cha maana hapa?Unajua mimi huwa sijadiliani na mbumbumbu kama wewe. Hapa hapa tunaongea facts issue zenu hizo peleka kwa wenzako wa facebook.
Nilikuuliza swali hivi USA anauchumi mkubwa kwa namna gani?
Asset or Liability?
Jibu swali. Kama hujui nenda kanywe nchimpumu.Wewe unachojadili kitu Gani Cha maana hapa?
Ivi nyie prorussia hamuoni tu taifa lenu lilivo fail ktk Hii vita?
Vita ya kuchukua siku kadhaa Leo hii mmechukua miezi
Maeneo mliyoyachukua mnachapwa na kufurushwa
Leo Bado mnaona mnaongea fact?
Russia ni mbwa Koko tu
Hilo tamko la mwamba Putin linaishi hadi Leo,TBT[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2448048View attachment 2448049
MweeeehBritain considers the possibility of transferring Storm Shadow cruise missiles to Ukraine
Haya masafa marefu hayooo
Umenikumbusha Live Another Day. Hapo ndio nikajua kumbe drones zinaweza kuwa hacked[emoji3]Mashabiki wa marekani mnaikumbuka hii machine ilivyofanywa na waajemi
View attachment 2447839
Tulianza kushinda toka kuanza kuupinga ushoga nausagajiHaitokuja mshinde na tena mtalizwa na Croatia mfie mbali, hamna hata cha namba tatu, mlileta udini....yaani nililala kwa furaha sana jana...hehehe
Nasubiri kuchekelea kwa kichapo mtakachopata kwa Croatia....halafu nilicheka mlivyotoka bila kusujudu kama ilivyokua kawaida yenu.
Kama ni hvyo bas hata majeshi nao wapo sahihi maana wanajua kama kufa kupo hasa kwa kazi kama yaoHujapoteza lolote boss sababu nia yako ni waishi.
Kuekwa No fly zone UKRAINE hilo sahauNINACHOKITABIRI USA ANAWEKA NO FLY-ZONE UKRAINE POLEPOLE NA KIMYA KIMYA YAANI ANAFUKUZA MWIZI KIMYAKIMYA.
URUSI ATAKUJA SHITUKIA UKRAINE HAKUINGILIKI TENA,
HIMMARS, NA SASA PATRIOTS, KESHO UJERUMANI ANALETA ZAKE, ITALIA NA UINGEREZA.
KUMRUHUSU UKRAINE KUPIGA NDANI YA MIPAKA YA URUSI INA MAANA KUBWA SANA.
N.B NASUBIRIA REACTION YA URUSI AMEJIPANGAJE HAPO MAANA NAAMINI INTELIJENSIA YAKE IPO VIZURI PIA.
Acha ukorofi aiseeTBT[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2448048View attachment 2448049
Usijidangaye... Putin alisema nchi yoyote itakayo isaidia Ukraine ataishambuliaHilo tamko la mwamba Putin linaishi hadi Leo,
Hakuna hata nchi moja ya west wala NATO iliyojaribu kuingia kumsaidia Ukraine moja kwa moja kama walivyojaribu kufanya Iraq dhidi ya Kuwait,
Somalia,Libya,Syria na huko Yugoslavia.
Ukweli silaha zinapelekwa Ukraine lakini Ukraine kapoteza mikoa karibu mitani,Kambi za jeshi zimasambaratishwa na askari kibao wametekwa na wengi kufa.
Aliposema nchi itakayoingila mzozo huu aliamaanisha nchi itakayoingila kijeshi kumsaidia Ukraine. Na hakuna hata nchi moja imeshingia kijeshi zaidi ya kuchangishana silaha.
Hata hapo juzi NATO walipopata fursa ya kuingilia kijeshi pale Poland ilipopigwa na roket na Ukraine kusema ni la Urusi bado NATO Mkuu alikataa ofa hiyo na kusema sio Urusi.
Hivyo USA walikataa katakata kua sio Urusi.
Cha ajabu hata Poland aliepigwa alisema sio Urusi.
Lkn Colin Powell Huku akijua anasema uongo aliwahi kuisingizia Iraq kua inamiliki WMD wakati haikua nazo masikini,na mwisho wake USA na washirika wake wakakusanyana na kwenda kuipiga Iraq.
Lkn kwa Urusi walipewa ofa na Ukraine kule Poland wakaikataa.
Unajua ni kwa Nini?
Ni kwa sababu ya tamko la Putin.