MR MAJANGA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 3,526
- 10,820
View attachment 2449012US Army Troops Arrive in Estonia
The Estonian Defense Force confirmed American infantrymen have arrived at the Taara military base, where they will train and serve together with the Estonian 2nd Infantry Brigade.
A unit of the American army arrived in Estonia on the basis of a bilateral agreement with the United States. At the NATO summit in Madrid, President Joe Biden promised to strengthen the eastern flank of the alliance.
Subscribe to RT
Kuwaita Marais wa Africa Kwny mkutano huko US kunafanyaje bidhaa za US kua competitive huku kwny soko la Africa wkt Cost of production ya bidhaa zao Ni So high?Hii vita ipo pande mbili NATO na BRICKS, ila mataifa mawili ndo yanayopigana USA V'S RUSIA
wengine ni chawa tu kwa ma master wao, haina tofauti na cold war. Na hapa mwenye kushinda ni USA,
Urusi atakuja kujipanga upya, ikiwa pamoja na hiyo aliyoiita soverignty technology pamoja na kutafuta washirika wapya ambao ni nchi za kiarabu karibia zote ikiongozwa na iran.
Watakuja rudi kwa upya na kushinda vita dhidi ya USA na ndio utakuwa mwisho wa USA.
ILA kwa vita hii USA anaenda kushinda
Pia China sio threat kubwa kwa USA, kumbuka kitendo cha USA kuwakusanya viongozi wa Afrika kama wakuu wa shule pale dodoma na kuongea na viongozi wa AFRICA hii ni hatari kwa china sana, hapa soko la china linaenda kupokwa polepole.
Wote wako shimoni wakitafuta point ya kutoka nayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Leo Upande wa pili wamepoa kama vile wamemwagiwa maji ya ukoko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Sisikii tena ile habari sijui tunapiga Urusi
Bora wanampa Ukraine sababu ya kuendelea kuyalenga maeneo nyeti ndani ya urusi..,hata haya mashambulizi bila shaka itakuwa ni hatua ya kulipiza kisasi baada ya mfululizo wa mashambulizi yaliyolenga maeneo nyeti ndani ya urusi,Yaani unarusha makombora 72, 60 yanapanguliwa success rate ya 92.5
Kati ya hayo 72, 40 Kyiv
Kati ya yaliyotumwa Kyiv 37 yamepigwa chini
Na hapo bado Patriot au Iris T mpya haijafika
Acha UongoYaani unarusha makombora 72, 60 yanapanguliwa success rate ya 92.5
Kati ya hayo 72, 40 Kyiv
Kati ya yaliyotumwa Kyiv 37 yamepigwa chini
Na hapo bado Patriot au Iris T mpya haijafika