Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Usijidangaye... Putin alisema nchi yoyote itakayo isaidia Ukraine ataishambulia

Misaada inapelekwa na inaingia Ukraine na Russia anaona hivi hivi km kidume kwanini asiishambulie hiyo misaada?

NATO ikisimama dhidi ya Russia yaani Russia ata wiki hawamalizi maana huu ndio umoja wenye nguvu kubwa Duniani na unajeshi la kisasa kabisa kenye silaha za kisasa na uzoefu mkubwa

Na hii vita inakoelekea ni mpk NATO waingie hapo huo ndio mpango na kidogo kidogo nchi za NATO zinaenda zinakamilisha maandalizi ya kuingilia huu mzozo...

Na Kwa taarifa ni kwamba US na washirika wake saizi wanaiona China ndio tishio. Na mpk mwaka 2035 China inaweza kufikisha vichwa vya nuclears 1500.

So Russia Wala hawampigii hesabu kabisa.
Jipige kichwa afu sema hivi Mimi Ni......
Tofauti na siku kadhaa zilizopita ambapo kwa NATO na Marekani Ugaidi ulikua kitisho namba moja kwa usalama wait but baada ya kuanza kwa mgogoro huu ugaidi SI Tena kitisho namba moja but kwa Sasa kitisho namba moja wameki - name kuwa Russian Federation.
 
BREAKING-NEWS

mashambulizi za makombora yanaendelea muda huu kwenye mikoa mingi Ukraine ikiwemo mji mkuu.muda sio mrefu tutapata habari kamili, tuweni wapole kidogo
Hahahaha naona wanalipa kisasi baada ya kulipuliwa Kwa miundombinu yao ya Mafuta hapo Siberia [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa maelezo Yako haya ,Sasa ni dhahiri Urusi hapigani na Ukraine tena.bali anapigana na NATO na west wote.
Kwa hiyo tukubali kua Urusi ni Supapawa wa ukweli .Urusi ni taifa kubwa.
Hii vita ipo pande mbili NATO na BRICKS, ila mataifa mawili ndo yanayopigana USA V'S RUSIA
wengine ni chawa tu kwa ma master wao, haina tofauti na cold war. Na hapa mwenye kushinda ni USA,

Urusi atakuja kujipanga upya, ikiwa pamoja na hiyo aliyoiita soverignty technology pamoja na kutafuta washirika wapya ambao ni nchi za kiarabu karibia zote ikiongozwa na iran.

Watakuja rudi kwa upya na kushinda vita dhidi ya USA na ndio utakuwa mwisho wa USA.

ILA kwa vita hii USA anaenda kushinda

Pia China sio threat kubwa kwa USA, kumbuka kitendo cha USA kuwakusanya viongozi wa Afrika kama wakuu wa shule pale dodoma na kuongea na viongozi wa AFRICA hii ni hatari kwa china sana, hapa soko la china linaenda kupokwa polepole.
 
Labda ashinde njaa huyo USA[emoji23][emoji23]
 
Mikoa Saba imeshambuliwa mpaka muda huu.na mashambulizi yanaendelea.

Kharkiv, Odessa, Kyiv, Mykolaiv, Zaporizhzhia, Vinnytsia, Kirovohrad

Tutaendelea kupeana taarifa zaidi kadri mambo yatakavyokuwa yanajili[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

[emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji12] Wapi Kipanya44, Vunjo, Axel
 
img_1_1671179341117.jpg
hii mashine ipo anga la belarus muda huu kazi yake ni kutafuta na kuizima mifumo ya ulinzi wa ya adui
 
Usijidangaye... Putin alisema nchi yoyote itakayo isaidia Ukraine ataishambulia

Misaada inapelekwa na inaingia Ukraine na Russia anaona hivi hivi km kidume kwanini asiishambulie hiyo misaada?

NATO ikisimama dhidi ya Russia yaani Russia ata wiki hawamalizi maana huu ndio umoja wenye nguvu kubwa Duniani na unajeshi la kisasa kabisa kenye silaha za kisasa na uzoefu mkubwa

Na hii vita inakoelekea ni mpk NATO waingie hapo huo ndio mpango na kidogo kidogo nchi za NATO zinaenda zinakamilisha maandalizi ya kuingilia huu mzozo...

Na Kwa taarifa ni kwamba US na washirika wake saizi wanaiona China ndio tishio. Na mpk mwaka 2035 China inaweza kufikisha vichwa vya nuclears 1500.

So Russia Wala hawampigii hesabu kabisa.
Sawa hiyo ni tafasiri Yako.
Lakini je unaweza kunieleza tofauti hii safari hii inasababishwa na Nini?

USA na NATO wakipeleka majeshi kamili huko ghuba kwenda kuipiga Iraq kwa sababu Iraq iliivamia Kuwait.Hawakutuma silaha,Bali majeshi kamili yalienda Iraq.

NATO walipeleka majeshi kamili kwenda kuipiga Yugoslavia wakati Yugoslavia/Serbia walipokua wakiwapiga Kosovo,Bosnia na Herzegovina.Hawakutuma silaha,Bali majeshi kamili ya NATO yalienda Yugoslavia.

USA na baadhi ya washirika wa NATO kama Ufaransa walipeleka majeshi kamili Libya kwenda kuwapiga majeshi watiifu kwa Muamar Gadafi wakati wanajeshi hao walipokua wakiwapiga waasi waliokua wakimpinga Gadafi.Hawakutuma silaha ,Bali majeshi kamili ya USA na France na UK.

USA akisindikizwa na marafiki zake wa NATO alipeleka majeshi kamili Afghanistan kwenda kuwapiga Al-qaida na Watalaban,hawakuoeleka silaha kwa Northern Alliance wala namna yoyote Ile.

Kwa mara ya pili USA alikwenda mwenyewe kijeshi na washirika wake wa NATO kwenda kumpiga Sadam Husein wa Iraq kwa madai kua anatengeneza na kumiliki silaha za maangamizi.WMD.ambazo kiukweli Sadam hakua nazo.na kazi ya kumnang'anya silaha hizo ilitakiwa kufanywa na UN,lakini UN haikutoa ruhusa kwa USA lakini USA iliwakusanya mashoga zake na kwenda kijeshi kumpiga sadam.walipomshinda hawakukuta hata sumu ya Kuua panya.

USA ilikwenda Somalia kwa madai kuwasaidia watu waliokua wanateswa na waasi wababe wa kivita akila General Morgan, General Mohamed Farah Aidiid na wababbe wengine,haikutumia silaha kwa wasomali.

USA ilipelekea jeshi nchini panama kupigana na Jeshi la panama kwa madai kwamba Rais wa Panama bwana Mannuel Antonio Noriega anafanya biashara ya cocaine.
Hakupeleka silaha.jeshi la Marekani lilienda..

Kwa uchache ni hayo TU.
Sasa nataka uniambie ni kwa sababu Gani USA na NATO na west hawaingizi majeshi kamili kwenda kumuokoa Ukraine ambae anapewa kipigo ambacho kinawaumiza mno NATO.
Kinawaumiza kiasi ambacho hakuna nchi hata moja duniani iliwahi kupewa misaada ya kijeshi na fedha na logistics kama anayopewa Ukraine.
Silaha anazipewa Ukraine ni za kisasa mno,Bora mno na za gharama kubwa mno hakuna hata nchi moja iliyowahi kupewa misaada ya namna hiyo.
Inaonesha NATO wameguswa mno na mateso anayoyapitia Ukraine ni kwa Nini hawaingizi majeshi kamili?

Kumbuka hakuna nchi hata moja duniani ambayo imewekewa vikwazo vingi kama Urusi,hii yote ni katika kuisaidia Ukraine na kuiunga mkono,vikwazo hivyo vimeweza hata kuziathiri nchi za west.Hii inaonesha wameumizwa mno na mateso au mapito anayoyapitia Ukraine,je huoni hapo ndio ulikua ni fursa nzuri kabisa ya kupeleka majeshi Kili ya NATO?
Kwani anachopitia Ukraine kina tofauti Gani na walichopitia Akina Kosovo,Bosnia na hezegovina,Libya au waafghanistan?.

Hutaki unaacha.
Kauli ya Putin ilikua ni dhahiri kabisa na inaishi.
Hata Putin asingetoa kauli hiyo bado hakuna Cha NATO wala baba Yao NATO angethubutu kuingiza jeshi lake pale.
Kuingiza jeshi kunahitaji Ruhusa ya mabunge ya nchi husika.
Je Kuna bunge la nchi hata moja limeidhinisha jeshi lake kuingia Vitani dhidi ya Urusi?

Kupeleka silaha sio ruhusa rasmi ya vita,ndio maana hata Iran anapeleka silaha zake ili kuzijaribu.
 
Good

Ninachoweza kukueleza ni hichi

US na washirika wake wanapeleka silaha na wanawafundisha Ukraine. Na baadae watakuja kupeleka askari kamili kabisa. Huo ni mwanzo tu. Maana ata ktk vita ya pili ya Dunia awali US alikua akipeleka silaha tu na atimae mwishoni akaingia mazima kabisa Kijeshi

Hivo ndio hii vita itafika Huko.

Kumekua na vikao vya mabunge na umoja na mazoezi ya kijeshi na maandalizi ya kivita na majeshi kila siku ktk nchi za NATO

Yote hii ni Kwasbbu Gani? Sbbu ni kwamba Dunia kwsasa imekua na kitisho Cha vita ya tatu ya Dunia na ndio maana mataifa ya magharibi yameamka sasa dhidi ya Russia China na North Korea na Iran.

Jambo jingine, mataifa ya magharibi yanapeleka silaha nyepesi na za kawaida sn hapo Ukraine. Hivo tusiongeze chumvi kua Ukraine anapewa sila za kisasa na Kali.
 
Back
Top Bottom