Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nimeona mkuu wa majeshi wa Ukraine anasema kuwa kwa sasa Warusi wanazidi kuongeza majeshi kwa ajili ya mashambulizi zaidi na pia kwa sasa wao ni ngumu kuanzisha counter attack kwa sasabu Warusi wanawafatilia muda wote, wala awawaruhusu wajikusanye.

Kwa iyo anaomba msaada zaidi wa vifaa vya kutungulia drone,vifaru na mizinga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kenge mvaa kobaz umetolea wapi hiyo statement [emoji1787][emoji1787]
 
Nimeona mkuu wa majeshi wa Ukraine anasema kuwa kwa sasa Warusi wanazidi kuongeza majeshi kwa ajili ya mashambulizi zaidi na pia kwa sasa wao ni ngumu kuanzisha counter attack kwa sasabu Warusi wanawafatilia muda wote, wala awawaruhusu wajikusanye.

Kwa iyo anaomba msaada zaidi wa vifaa vya kutungulia drone,vifaru na mizinga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kenge wewe sikiliza alichokisema hapo acha kulisha maneno mvaa kobaz wewe

 
Kila jambo hua baya au zuri kwautavyo liangalia wewe MKUU

kama wanajeshi wamarekani waliokua wanadai kuwalinda RAIA wataliban eti kuua RAIA nawao kufa wanatofauti ipi na hao RUSSIA

Ukiishakua mwabajeshi kwasheria zao utakapotumwa ukafia huko haijalishi mazingira yapoje basi umekufa kishujaa


Ingawaje binafsi siielewi hio kazi ila ukweli nikwamba wanajeshi wanaaminishwa wapo sahihi popote watumwapo

Hata huko UKRANE unaposema wewe unaona wavamizi wenyewe wanajiona mashujaa maana waweza kuta kuna jambo nyuma ya unayoyasikia halaf ww namie hatuyajui

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli. Kwa maelezo yako haya nadhani binadamu tunahitaji common enemy ili nguvu kubwa ielekezwe huko. Siku tukiwa na common eneny lets say inteligency ya sayari nyingine na kukawa na tishio huenda humanity itabadili mtazamo.
 
MATOKEO
Russia fired 72 missiles at Ukraine in an hour
Damaged energy facilities in the east and south of the country - Minister of Energy of Ukraine Galushchenko.
About 15 missile strikes in Zaporizhzhia region, - Starukh, head of the OVA.
 
1671185544760.png

The movement of the metro in Kyiv is temporarily stopped on all branches. Underground stations work like a shelter.
Meanwhile, there is no lighting at the Vystavochny Tsentr metro station.
 
Zaporozhye - 12 arrivals.
Krivoy Rog - 4 arrivals (plus an air defense missile that hit a residential building)
Kiev - 6 or 7 arrivals.
Kharkiv - 4-5 arrivals.

Explosions in the Ternopil region. Now missiles launched in Western Ukraine will fly. Zelensky's gang is probably thinking now - to announce that they shot down 80% or 90% of all launched missiles.
 
USA GOT ITS MATCH TODAY
1671185889516.png

The Russian Aerospace Forces managed to mislead the US Air Force, since today's missile attack began in the morning, and not in the afternoon, as in recent times. Therefore, the RQ-4B Global Hawk UAV is only in time for the “cap analysis”
 
Back
Top Bottom