Antonio Conte
JF-Expert Member
- Dec 6, 2017
- 1,089
- 1,748
Mimi naweza kuuliza tu.Mikoa Saba imeshambuliwa mpaka muda huu.na mashambulizi yanaendelea.
Kharkiv, Odessa, Kyiv, Mykolaiv, Zaporizhzhia, Vinnytsia, Kirovohrad
Tutaendelea kupeana taarifa zaidi kadri mambo yatakavyokuwa yanajili[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
[emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji12] Wapi Kipanya44, Vunjo, Axel
Nini faida ya haya mashambulizi?