Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wagner wakiwa maeneo ya Bakhmut.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635].

Je macho yako yanaona kama mimi?

Niambie umeona nini pembeni
20221216_082734.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huu mji wa Marinka unaweza sema umepigwa na Nuclear.warusi sijui walitumia mabomu ya aina gani zidi ya vikosi vya Ukraine[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635].

Na bado tank za warusi zinafanya doria kama ukionekana upo kwenye paghara unatumiwa mzigo mzito[emoji23][emoji23][emoji23]

Kama mrusi bado anapgan hadi leo , hii vita inaend kuw na mwisho m-baya kwa dunia Mrusi hatokubali kushindwa lazm awatie hasara hao NATO au ukrain mwenyew akubali yaishe ,

Vita inakarbia kukatsha mwaka sasa
Nimeona mkuu wa majeshi wa Ukraine anasema kuwa kwa sasa Warusi wanazidi kuongeza majeshi kwa ajili ya mashambulizi zaidi na pia kwa sasa wao ni ngumu kuanzisha counter attack kwa sasabu Warusi wanawafatilia muda wote, wala awawaruhusu wajikusanye.

Kwa iyo anaomba msaada zaidi wa vifaa vya kutungulia drone,vifaru na mizinga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wagner wakiwa maeneo ya Bakhmut.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635].

Je macho yako yanaona kama mimi?

Niambie umeona nini pembeniView attachment 2448448
KAMATA MWIZIIIIIII [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hayo ni Mawagner yamechinjwa huko Ukraine wewe unatuletea taarifa za mchongo eti ni waUkraine [emoji23][emoji23]

Hiyo picha umeitoa hapa[emoji116]
IMG_20221216_090703.jpg
 
Mkuu japo sipend mwenendo wa vita kwa uzur au ubaya kuna wakat inabid tuu ukrain atafakari vzr labda kwa sasa anasema hana chakupoteza kwakuw alishapoteza ila mudanutaongea hii vita miez 3 had 5 ijayo ikiwepo kuna kitu tunakuja kushuhudiana hapa sisi na vizazi vinavyokuja

Mrusi ameanza kuwa seriously vitan zaid ya awali
Msimu wa barid huu
Nato tayar wameshaingia hasara za kutosha
Ukraine anajipa moyo tuu kwakuomba msaada kila.siku huku akimalza wanajeshi wake wote kila siku na anasajili wapya kila siku ambao ni raia wake
Nimeona mkuu wa majeshi wa Ukraine anasema kuwa kwa sasa Warusi wanazidi kuongeza majeshi kwa ajili ya mashambulizi zaidi na pia kwa sasa wao ni ngumu kuanzisha counter attack kwa sasabu Warusi wanawafatilia muda wote, wala awawaruhusu wajikusanye.

Kwa iyo anaomba msaada zaidi wa vifaa vya kutungulia drone,vifaru na mizinga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimeona mkuu wa majeshi wa Ukraine anasema kuwa kwa sasa Warusi wanazidi kuongeza majeshi kwa ajili ya mashambulizi zaidi na pia kwa sasa wao ni ngumu kuanzisha counter attack kwa sasabu Warusi wanawafatilia muda wote, wala awawaruhusu wajikusanye.

Kwa iyo anaomba msaada zaidi wa vifaa vya kutungulia drone,vifaru na mizinga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa Una fix Sana

Ukraine wamesema Urusi ina mpango wa kuongeza wanajeshi laki2 ili kutaka kujaribu kuikamata tena Kiev na wao wana mpango wa kuanzisha counter offensive nyingine katikati ya winter mvua ikishakata pia ardhi ikipungua matope.

Wameomba silaha zaidi hasa anti tank na Stingers ili kupambana na warusi iwapo wataanzisha mashambulizi tena dhidi ya Kiev hapo January au February.
 
KAMATA MWIZIIIIIII [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hayo ni Mawagner yamechinjwa huko Ukraine wewe unatuletea taarifa za mchongo eti ni waUkraine [emoji23][emoji23]

Hiyo picha umeitoa hapa[emoji116]
View attachment 2448471
We kweli akli una huyu ni binadamu kama wewe kachukua picha kamua kugeuza maneno.we kwa kuangalia tu Wagner wapo upande gani hapo na vikosi vya Ukraine vipo upande gani.

Hapo kuna picha ya Wagner na Wanajeshi wa Ukraine.unaona hapo uniform zipi zipo hapo kwenye mafungu
View attachment 2448481View attachment 2448482
 
We kweli akli una huyu ni binadamu kama wewe kachukua picha kamua kugeuza maneno.we kwa kuangalia tu Wagner wapo upande gani hapo na vikosi vya Ukraine vipo upande gani
Picha umeiba kwenye account yake halafu unatuambia kageuza maneno. KAMATA MWIZIIIIIII [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaa Una fix Sana

Ukraine wamesema Urusi ina mpango wa kuongeza wanajeshi laki2 ili kutaka kujaribu kuikamata tena Kiev na wao wana mpango wa kuanzisha counter offensive nyingine katikati ya winter mvua ikishakata pia ardhi ikipungua matope.

Wameomba silaha zaidi hasa anti tank na Stingers ili kupambana na warusi iwapo wataanzisha mashambulizi tena dhidi ya Kiev hapo January au February.
Sasa utaki au[emoji23][emoji23][emoji12][emoji12]
 
Wagner wakiwa maeneo ya Bakhmut.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635].

Je macho yako yanaona kama mimi?

Niambie umeona nini pembeniView attachment 2448448
Acha uongo, kwani ukiongopa unapata faida gani [emoji848][emoji848]
Unadhani uongo wa hapa jukwaani unabadilisha Hali kwenye uwanja wa vita??

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Picha umeiba kwenye account yake halafu unatuambia kageuza maneno. KAMATA MWIZIIIIIII [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe utanipiga kwa ubishi.nimekwambia Wagner wanavaa rangi ya kijani kibichi, wakati Ukraine anavaa kaki.sasa hapo kwenye picha waliyorundikwa wamevaa uniform gani?
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]

Huyo wa Pili kafanana sana na Kipanya44[emoji23][emoji23][emoji23]
20221216_094059.jpg
 
Back
Top Bottom