mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nani anateseka kati ya mimi na wewe.Warusi wananipa furaha sana kwa kweliMpaka vita iishe hivyo vidole vitaota sugu, maana inaonekana unateseka mno
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Endelea kuwawakilisha warusi wenzio wa jamiiforum maana kazi hii naona umeiweza kweli, bahati nzuri Leo hawajakuacha peke Yako, naona wamejitokeza wengine kkuuunga mkono,[emoji12][emoji12][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nani anateseka kati ya mimi na wewe.Warusi wananipa furaha sana kwa kweli
Mdogo mdogo utarudi kundini maana wewe pia ni damu yetu ya Kirusi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12]Endelea kuwawakilisha warusi wenzio wa jamiiforum maana kazi hii naona umeiweza kweli, bahati nzuri Leo hawajakuacha peke Yako, naona wamejitokeza wengine kkuuunga mkono,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
NyoanokoYaani unarusha makombora 72, 60 yanapanguliwa success rate ya 92.5
Kati ya hayo 72, 40 Kyiv
Kati ya yaliyotumwa Kyiv 37 yamepigwa chini
Na hapo bado Patriot au Iris T mpya haijafika
Ukraine Jana walishambulia na kuharibu kabisa miundombinu ya mitambo miwili ya kusafisha mafta katika Jimbo la Siberia huko urusi...,hapo hatujazungumzia mashambulizi mengine ya maeneo mengine nyeti ndani ya Russia ikiwemo Kambi ya kijeshi..,
Kivipi?Miliki kampuni kwa ofa ya 150,000 ofa ya msimu wa sikuu View attachment 2449234
Mashambulizi ya Ukraine ni madogo Sana.Ukraine Jana walishambulia na kuharibu kabisa miundombinu ya mitambo miwili ya kusafisha mafta katika Jimbo la Siberia huko urusi...,hapo hatujazungumzia mashambulizi mengine ya maeneo mengine nyeti ndani ya Russia ikiwemo Kambi ya kijeshi..,
Tuseme haya mashambulizi ya Leo yatakuwa yametosha kufidia hasara kwa mashambulizi yaliyofanywa na Ukraine ndani ya ardhi ya Russia Kwa takriban siku 4 mfululizo??
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hii co. Itakua Russia au Ukraine?Miliki kampuni kwa ofa ya 150,000 ofa ya msimu wa sikuu View attachment 2449234
Mashambulizi ya Russia imefanya Ukraine kuwa jehaman.kumbuka umeme ni kila kitu unatumia kuendesha mitambo ya kijeshi,mitambo ya maji na pia wakati huu wa baridi umeme unahitajika kuupa nyumba joto Kwa hiyo waukraine wanateseka sana.kwa upande wa warusi madhara ni madogo Kwa sababu Kwanza wanazalisha mafuta wenyewe Kwa hiyo hakutakuwa na uhaba wa mafuta.na kijeshi Ukraine haiwezi kuidhoofisha Russia.Ukraine Jana walishambulia na kuharibu kabisa miundombinu ya mitambo miwili ya kusafisha mafta katika Jimbo la Siberia huko urusi...,hapo hatujazungumzia mashambulizi mengine ya maeneo mengine nyeti ndani ya Russia ikiwemo Kambi ya kijeshi..,
Tuseme haya mashambulizi ya Leo yatakuwa yametosha kufidia hasara kwa mashambulizi yaliyofanywa na Ukraine ndani ya ardhi ya Russia Kwa takriban siku 4 mfululizo??
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukraine Jana walishambulia na kuharibu kabisa miundombinu ya mitambo miwili ya kusafisha mafta katika Jimbo la Siberia huko urusi...,hapo hatujazungumzia mashambulizi mengine ya maeneo mengine nyeti ndani ya Russia ikiwemo Kambi ya kijeshi..,
Tuseme haya mashambulizi ya Leo yatakuwa yametosha kufidia hasara kwa mashambulizi yaliyofanywa na Ukraine ndani ya ardhi ya Russia Kwa takriban siku 4 mfululizo??
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Cha ajabu izo oil refinery zinaendelea na kazi.sasa sijui walilipua kutumia bomu la mafuta ya taa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji635][emoji635][emoji635]Ukraine Jana walishambulia na kuharibu kabisa miundombinu ya mitambo miwili ya kusafisha mafta katika Jimbo la Siberia huko urusi...,hapo hatujazungumzia mashambulizi mengine ya maeneo mengine nyeti ndani ya Russia ikiwemo Kambi ya kijeshi..,
Tuseme haya mashambulizi ya Leo yatakuwa yametosha kufidia hasara kwa mashambulizi yaliyofanywa na Ukraine ndani ya ardhi ya Russia Kwa takriban siku 4 mfululizo??
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Maji na mafuta huko field yanajitenga [emoji16]Yaani unarusha makombora 72, 60 yanapanguliwa success rate ya 92.5
Kati ya hayo 72, 40 Kyiv
Kati ya yaliyotumwa Kyiv 37 yamepigwa chini
Na hapo bado Patriot au Iris T mpya haijafika