Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hahahaha naona wanalipa kisasi baada ya kulipuliwa Kwa miundombinu yao ya Mafuta hapo Siberia [emoji23][emoji23][emoji23]

hadi sasa miundo mbinu ya kijeshi ya ukraine ambayo haipo mstar wa mbele wa vita ipo salama wasalimini. wauni wanasubiri tope ligande sawa sawa wapeleke mzigo front. waendelee kuchinja nguchiro wa kirusi waliopo mashimoni donbas hadi crimea
na ukraine wameshampa taarifa wakiona tope limekauka wajue kazi wanayo. so russia weka plan zako vizur. kama kuna mobics wengine peleka kabisa front.

shughuli ikianza ni mpaka kuchele.

kwa udhamini wa
yoyote atakae ingilia operation jibu la rusia litakua ni lapapo kwa hapo na matokeo yake yatakua yasiyo mithilika.

wapi camanda harmagedon.
wapi Nuckes Alertness
wapi nuke pannic button.
wapi chenchen.
wapi belarus.

haha
wapi msafara wa kuanzia wami hadi kibiti
wapi bucha
wapi kharkiv
wapi lyman
wapi kherson
wapi odesa
wapi.........
..........

we leta kemikaze ( now zmekua kama drone za millard ayo tu).
leta iskander ( sasa hivi zimeisha)
leta hpersonics ( naona walikua nayo moja)
leta su 300,400,500 hadi su 900.

ni mwendo wa kukata Ngebe tu.

nalogg off z.
haha

Ahsanten kwa kunisikiliza.
 
Hivi hii silaha yenu imekuaje mbona sisikii tena siku izi maana mlisema miezi mitatu tu atakuwa chali.uchumi wote utakufa, hata ela ya kuendeshea vita atakuwa hana.

Imekuwaje tena?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

Tuliwambia mbwa nyie kuwa Urusi sio Zimbambwe
images%20(27).jpg
 
Hivi hii silaha yenu imekuaje mbona sisikii tena siku izi maana mlisema miezi mitatu tu atakuwa chali.uchumi wote utakufa, hata ela ya kuendeshea vita atakuwa hana.

Imekuwaje tena?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

Tuliwambia mbwa nyie kuwa Urusi sio ZimbambweView attachment 2449547

kwani huoni russia. hasogei tena kama zaman. mkuu
kwani huon anaomba msaada irani tena kwa kificho?
kwani huoni magaid ya is hayana mtu wa kuyapa silaha
au ulitaka mwenyewe russia aseme nimesanda?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani wewe haupo duniani au.unamanisha nini unavyosema kusogea
20221216_222001.jpg
 
kwani huoni russia. hasogei tena kama zaman. mkuu
kwani huon anaomba msaada irani tena kwa kificho?
kwani huoni magaid ya is hayana mtu wa kuyapa silaha
au ulitaka mwenyewe russia aseme nimesanda?
Yani mtu yupo kwako anaendelea kusonga mbele alafu unamwambia kasanda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].hii kali ya mwaka

Zelensk kwisha habari yake.stock ya Nato na USA imeshakata.Zelensk apambane na hali yake
 
Russia.... Inabidi kuishambulia Ukraine tena kutoka pande tatu kama mwanzo, yaani kskz (Belarus), mashariki na kusini. Na idadi kubwa ya magari kuelekea Kyiv. Kama ilishindikana mwanzo huenda...
 
hadi sasa miundo mbinu ya kijeshi ya ukraine ambayo haipo mstar wa mbele wa vita ipo salama wasalimini. wauni wanasubiri tope ligande sawa sawa wapeleke mzigo front. waendelee kuchinja nguchiro wa kirusi waliopo mashimoni donbas hadi crimea
na ukraine wameshampa taarifa wakiona tope limekauka wajue kazi wanayo. so russia weka plan zako vizur. kama kuna mobics wengine peleka kabisa front.

shughuli ikianza ni mpaka kuchele.

kwa udhamini wa
yoyote atakae ingilia operation jibu la rusia litakua ni lapapo kwa hapo na matokeo yake yatakua yasiyo mithilika.

wapi camanda harmagedon.
wapi Nuckes Alertness
wapi nuke pannic button.
wapi chenchen.
wapi belarus.

haha
wapi msafara wa kuanzia wami hadi kibiti
wapi bucha
wapi kharkiv
wapi lyman
wapi kherson
wapi odesa
wapi.........
..........

we leta kemikaze ( now zmekua kama drone za millard ayo tu).
leta iskander ( sasa hivi zimeisha)
leta hpersonics ( naona walikua nayo moja)
leta su 300,400,500 hadi su 900.

ni mwendo wa kukata Ngebe tu.

nalogg off z.
haha

Ahsanten kwa kunisikiliza.
Sign of frustrated writer
 
Back
Top Bottom