Sijaongelea swala la mwenye silaha nyingi na haribifu zaidi Bali nilikua nzmjibu aliyesema Kwamba NATO bado hawajatoa silaha yoyote kubwa ya maana.ndo nikamtolea mfano hizo silaha chache zilizotolewa ndizo zilizomo pia ghalani kule NATO.Hizo silaha unalinganisha na masilaha na mazana anayo tumia Russia?
Jamani Russia anatumia meli. Russia anatumia Bombers..... Russia anarusha Ma Cruise Missiles... Russia anatumia makombora ya masafa marefu kuliko tu silaha twa Ukraine.
Ukraine mpk ndege vita Bora hana. Wakti huo Russia anatumia ma helcopta, mavifaru magari ya kivita mazito mazito. Meri za kivita. Madege ya kivita.
Tena Russia anatumia mpk hayo ma S400 na Hypersonic missile