Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

WAgner kwa sasa wameishika Africa
Screenshot_20221216-224723_Chrome.jpg
Screenshot_20221216-224742_Chrome.jpg
 
Sasa hivi kazungukwa na wanajeshi tu wanamlinda na wako tayari kufa nae wakati wowote. Na yeye binafsi anavaa mavazi ya kijeshi kwa sasa. Tafakari.
 
Sasa hivi kazungukwa na wanajeshi tu wanamlinda na wako tayari kufa nae wakati wowote. Na yeye binafsi anavaa mavazi ya kijeshi kwa sasa. Tafakari.
Wote wamevaa combat za jeshibna wako kivita zaidi. Tafakari
 
Silaha za kawaida kabisa.
M777, himars Ni silaha za kawaida?
Bushmaster Ni silaha ya kawaida?
Starstreak,
Iris T,
NASAMS inayolinda pia ikulu ya Marekani Ni silaha za kawaida,
Patriot ijayo pia Ni ya kawaida?
Hizo silaha unalinganisha na masilaha na mazana anayo tumia Russia?

Jamani Russia anatumia meli. Russia anatumia Bombers..... Russia anarusha Ma Cruise Missiles... Russia anatumia makombora ya masafa marefu kuliko tu silaha twa Ukraine.

Ukraine mpk ndege vita Bora hana. Wakti huo Russia anatumia ma helcopta, mavifaru magari ya kivita mazito mazito. Meri za kivita. Madege ya kivita.

Tena Russia anatumia mpk hayo ma S400 na Hypersonic missile
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani wewe Vunjo katika watu ambao awana akili ya hata kuvukia kwenye standad gauge wewe mmoja wapo.we ulitegemea mkuu wa jeshi la ukraine aseme kuwa yametua yote kwenye ardhi yake.mi nilijua unaleta ushahidi wa jinsi mfumo unavyopigana na makombola.wewe unaleta mambo ya flani kasema[emoji1787][emoji1787][emoji1787].


Kenge mkubwa wewe
Sasa wewe na na huyo kamanda nani mkweli??

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Tuliwambia nyie mbwa kuwa Urusi sio Zimbambwe.ona sasa mnavyoishi kwa shinda kama vile kikundi cha vicheche[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]



Waosha vyombo wa Zelensk wakijisalimisha kuogopa kifo maeneo ya Zluhansk



 
Back
Top Bottom