kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Tatizo unadhani Kila mtu ni WA kutukana..,wapo watu waliozoea matusi yako kama akina kp kipanya44 .., lakini wengine kuwatolea maneno yenye ukakasi unawaonea Bure,Dawa imeshaanza kukuingia vizuri. Sasa tulia sindano iingie vizuri.
Upo vitani na sisi wafuasi wa Russia unaanza kulia lia. Ukikutana na warusi wenyewe si utapotea kabisa.Tatizo unadhani Kila mtu ni WA kutukana..,wapo watu waliozoea matusi yako kama akina kp kipanya44 .., lakini wengine kuwatolea maneno yenye ukakasi unawaonea Bure,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sawa, hapa hujapotea njia..,tililika yote ya moyoni uliyonayo,hata kama Kuna tusi lolote unajiskia kutoa ruksaUpo vitani na sisi wafuasi wa Russia unaanza kulia lia. Ukikutana na warusi wenyewe si utapotea kabisa.
Wewe leta taarifa zenye facts na evidences acha umbea.
Moja. Matusi kwangu mwiko. Sijawahi kukutukana bali unajihisi kuwa umetukanwa tu.Sawa, hapa hujapotea njia..,tililika yote ya moyoni uliyonayo,hata kama Kuna tusi lolote unajiskia kutoa ruksa
Lakini kwingineko unatuhaibisha,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wanaichukulia Urusi poaWale washamba kutoka Nairobi Kenya wanaopiga kelele sana, nadhani ngebe zitawaisha.
NIENDELEE NISIENDELEE?
Tulia uchanjwemwenzio mulokoz alikua na moto kama wewe na vyanzo vyake vya telegram channel. naona wew umekuja kutuokolea jahaz warubuza.
Endelea kutililika mkuu...,bado una Airtime [emoji441][emoji441][emoji441][emoji441][emoji441][emoji2424][emoji2424][emoji2424][emoji2424][emoji2424][emoji441][emoji441][emoji441]Moja. Matusi kwangu mwiko. Sijawahi kukutukana bali unajihisi kuwa umetukanwa tu.
Pili "Unatuhaibisha" maana yake ni nini?
Tatu huna uwezo wa kujadiliana na mimi maana huna facts.
Unajipindekeza kwangu. Mimi huwa sijihusishi na mambo yenu ya haki sawa. Mimi nafuata maagizo ya Mwenyezi Mungu.Endelea kutililika mkuu...,bado una Airtime [emoji441][emoji441][emoji441][emoji441][emoji441][emoji2424][emoji2424][emoji2424][emoji2424][emoji2424][emoji441][emoji441][emoji441]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app