Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,077
- 4,525
Nani anaunua Magari ya Russia hata ndege zaidi yao wenyewe...
hebu Pro Russia kuweni watu wakureason
hebu Pro Russia kuweni watu wakureason
Kwenu pro Russia
Mwaka 2022 unaisha Still Russia anapigana na Ukraine, Malengo ya so called Special Military operation bado hayajitimia (Hadi sasa Russia ameshindwa kuiteka Luhansk and Donesk)
Amekimbia maeneo aliyoyateka, Bidhaa zake za mafuta zimaanza kuuzwa kwa discounted price
80% ya magari ya JWTZ Made from Russia. Usidhani hapo Nanyumbu ndio unaijua dunia.Nani anaunua Magari ya Russia hata ndege zaidi yao wenyewe...
hebu Pro Russia kuweni watu wakureason
WASHAMBA KUTOKA BUMBULI MPO!?Nani anaunua Magari ya Russia hata ndege zaidi yao wenyewe...
hebu Pro Russia kuweni watu wakureason
Kwa asilimia kubwa Russia ina self sustained economy...ina raslimali kubwa Kama madini, gas, mafuta, viwanda vya ndege na magari..ina soko kubwa la ndani...in viwanda ambapo nchi nyingi huagiza silaha hizo...ndiyo maana Russia haiathiriki na vikwazo...ukiiwekea vikwazo nchi Kama uingereza kwa kutoipelkea kahawa, chai, pamba na ndizi inakuwa ndiyo mwisho wa shughuli..Nani anaunua Magari ya Russia hata ndege zaidi yao wenyewe...
hebu Pro Russia kuweni watu wakureason
Ngoja niendelee kukufingua machoNani anaunua Magari ya Russia hata ndege zaidi yao wenyewe...
hebu Pro Russia kuweni watu wakureason
Kumbe Kuna watu hubisha kuhusu Russia kuwa na viwanda vya magari?Buy Elegant Car V8 from Russia
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Unaota mkuuNani anaunua Magari ya Russia hata ndege zaidi yao wenyewe...
hebu Pro Russia kuweni watu wakureason
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Endelea kutililika mkuu...,bado una Airtime [emoji441][emoji441][emoji441][emoji441][emoji441][emoji2424][emoji2424][emoji2424][emoji2424][emoji2424][emoji441][emoji441][emoji441]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Bora umesema wewe, sisi wengine tungeoga matusi ya kutoshaMnalazimisha thread iwe ya mashindano ya bidhaaa . Kama hamna interest na topic iliyopo fungueni mpya ya viwanda magari simu nk . Story za humu ni mashambulizi vifaru HIMA drone nk .mambo ya chapati vitumbua mnaboa
Mzee hebu usitunyime uhuru wa kujadiliana hapa. Umetuma comment yako ya kwanza tumekaa kimya. Bado unarudia. Kuna wengine wanafaidika na hivi tunavyoviweka.Mnalazimisha thread iwe ya mashindano ya bidhaaa . Kama hamna interest na topic iliyopo fungueni mpya ya viwanda magari simu nk . Story za humu ni mashambulizi vifaru HIMA drone nk .mambo ya chapati vitumbua mnaboa
Wewe mshamba hebu tulia dawa ikuingie. 24/7 upo humu unatoa maneno ya kejeli na vijembe. Kitu gani cha maana unachangia!?Bora umesema wewe, sisi wengine tungeoga matusi ya kutosha
Kuna mwingine ameshajaribu kukosoa,kapigwa mkwara kakimbia mbio[emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app