President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
TUNA WASHUSHA
MADE IN RUSSIA
KAMAZ
MADE IN RUSSIA
KAMAZ
Duh...ataenda kumwaga unyama huko mpaka kieleweke...ngoja tuone badiliko lolote laweza kuwa attributed to himRecently freed from jail in the US, the "merchant of death" Viktor Bout travels to Luhansk
- just one week
Dawa imeshaanza kukuingia vizuri. Sasa tulia sindano iingie vizuri.Nmechungulia humu naona page nzima magari kumbe ni update za made in Russia na sio uzi wa uuzaji magari 😀. Unaweza dhani umekosea ukiangalia haraka.
Kwani malengo ya hiyo operesheni yalikuwa ni yapi?Kwenu pro Russia
Mwaka 2022 unaisha Still Russia anapigana na Ukraine, Malengo ya so called Special Military operation bado hayajitimia (Hadi sasa Russia ameshindwa kuiteka Luhansk and Donesk)
Amekimbia maeneo aliyoyateka, Bidhaa zake za mafuta zimaanza kuuzwa kwa discounted price
Nakuelewa. Kila mtu kuna jambo lake analimudu vizuri linalomfanya ajiambie anajua sana.Dawa imeshaanza kukuingia vizuri. Sasa tulia sindano iingie vizuri.
Hongera zako, sasa ni muda wako mwafaka wa kunywa uji.Nakuelewa. Kila mtu kuna jambo lake analimudu vizuri linalomfanya ajiambie anajua sana.