Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mbona sasa unabishana na Russia wenzako

Jamaa nimeamua kumpuuza aisee ., Russia walitoa official statement wakiilaumu uingereza kuhusika Moja kwa moja na ulipuaji wa Hilo Bomba la gesi ., lakini yeye amekaza shingo akiwatetea uingereza kwamba hawakuhusika

Watu kama Hawa unashindwa uwasaidieje kwa kweli

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Former US Ambassador to Russia John Sullivan who attended the meeting of the Secretary of the Security Council of the Russian Federation Nikolai Patrushev and CIA Director William Burns in 2021, said that the parties discussed Ukraine and allegedly the beginning of a Special Military Operation was already "a foregone conclusion".
 
"Patrushev did not specify this...
He just looked at Burns and said:
"We can do it. We're back." I would describe it this way: the decision on (a Special Military Operation in Ukraine - ed.) had already been made, and they were extremely confident in themselves.
 
His message was this: "It will not be a problem for us to do what we want to do," Sullivan quoted Patrushev in an interview with the American newspaper NYT, who reacted to Burns' words that Western countries would react "decisively and cohesively" if hostilities began in Ukraine
 
As the New York Times notes with reference to officials, Burns, upon his return to the United States, told President Joe Biden about the conversation that took place.
 
Kwenu pro Russia

Mwaka 2022 unaisha Still Russia anapigana na Ukraine, Malengo ya so called Special Military operation bado hayajitimia (Hadi sasa Russia ameshindwa kuiteka Luhansk and Donesk)

Amekimbia maeneo aliyoyateka, Bidhaa zake za mafuta zimaanza kuuzwa kwa discounted price
Pole sanaa what's the source of your information?
 
Kwenu pro Russia

Mwaka 2022 unaisha Still Russia anapigana na Ukraine, Malengo ya so called Special Military operation bado hayajitimia (Hadi sasa Russia ameshindwa kuiteka Luhansk and Donesk)

Amekimbia maeneo aliyoyateka, Bidhaa zake za mafuta zimaanza kuuzwa kwa discounted price
Nadhani mpaka sasa anayeelewa sababu za huu uvamizi ni Putin mwenyewe.
 
The New York Times:
Ukrainian authorities tried to kill the Chief of the General Staff of the Russian Armed Forces Valery Gerasimov According to the publication, the Kiev authorities organized the attack when Gerasimov was on the front line.

The Kiev authorities confirmed that they tried to kill the Chief of the General Staff of the RF Armed Forces Gerasimov.

the Armed Forces of Ukraine tried to strike at him in May or April, when the Russian general was in Izyum. Arestovich stated this on the air of the Youtube ch.

‐--------'--
tuliwahi kuambiwa huyu mtu kashambuliwa na kuvunjwa mguu

1671358239486.png
 
Sio kwamba natisha watu.....aaaah au basi muda utawaonyesha..!
 
Kwenu pro Russia

Mwaka 2022 unaisha Still Russia anapigana na Ukraine, Malengo ya so called Special Military operation bado hayajitimia (Hadi sasa Russia ameshindwa kuiteka Luhansk and Donesk)

Amekimbia maeneo aliyoyateka, Bidhaa zake za mafuta zimaanza kuuzwa kwa discounted price
Unafurahia, unalalamika, unakereka, au unasemaje?!
 
Nadhani mpaka sasa anayeelewa sababu za huu uvamizi ni Putin mwenyewe.
Huenda hata yeye Putin haelewi ni nini muelekeo wa hii vita lakini afanye nini??

Aondoe vikosi vyake huko Ukraine?

Aache kufanya offensive badala yake awe defensive?

Kwa Sasa anatafta njia zote Ili kupata mazungumzo ya amani na ukraine ikiwemo kushambulia miundombinu ya ukraine Ili kumforce zelensiky kuja kwenye meza ya mazungumzo,je atafanikiwa katika Hilo??

Atumie nyukria? Iwapo atatumia nyukria marekani na washirika wake wameshaweka wazi msimamo wao bila kupepesa macho , kwamba nini watafanya iwapo silaha za nyukria zitatumika huko Ukraine,,je urusi Yuko tayari kukabiliana na hatua zitakazochukuliwa na marekani na washirika wake iwapo nyukria itatumika?? Bila shaka Putin jibu atakuwa nalo,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Former US Ambassador to Russia John Sullivan who attended the meeting of the Secretary of the Security Council of the Russian Federation Nikolai Patrushev and CIA Director William Burns in 2021, said that the parties discussed Ukraine and allegedly the beginning of a Special Military Operation was already "a foregone conclusion".
Inaonyesha russia alitafuta sana diplomasia kuzuia vita visitokee lakini aligonga mwamba.option pekee ilabaki kua ni special operation.
Kuna mengi tusiyoyajua nyuma ya pazia.
Ila kuna wachache wanajua ndio maana wanasimama na russia.
 
The war will be long - Pope says

"I don't see the end of the conflict in the short term, because this is a world war. Already several hands are involved"
Pope anasame vita havitaisha hivi karibuni kwa sababu kuna mataifa mbalimbali yanayojihusisha na vita hiyo.
 
====
Marekani imedhamilia "kuwateketeza" wa Ukraine na Europe kwa gharama yoyote. Why all of these provocations??

Sasa Marekani awe makini, maana Muua nyoka anaweza kuacha kulenga mkia (Ukraine) akaamua kulenga kichwa ( hapa jazeni wenyewe)!.
 
Back
Top Bottom