Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kama hao waingereza unaowazungumzia waliweza kubutua mabomba ya ges na super pawer wa mchongo akabaki anabweka, unategemea nini kipya[emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani mbona ni la Urusi peke yao au ujui mkataba wa kujenga bomba la gesi au bomba la mafuta ulivyo.nusu ya bajeti anatoa mnunuaji gesi ili hata ukisitisha mkataba basi tunakuwa tumepata wote hasara.
 
Kama hao waingereza unaowazungumzia waliweza kubutua mabomba ya ges na super pawer wa mchongo akabaki anabweka, unategemea nini kipya[emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Na wapi kuna sehemu inayonyesha wingereza imelipua bomba maana kila kitu lazima kuwe na ushahidi.wingereza hata kama wao wanausika basi jua kwamba ni ngumu wao kuacha ushahidi
 
 
Good

Ninachoweza kukueleza ni hichi

US na washirika wake wanapeleka silaha na wanawafundisha Ukraine. Na baadae watakuja kupeleka askari kamili kabisa. Huo ni mwanzo tu. Maana ata ktk vita ya pili ya Dunia awali US alikua akipeleka silaha tu na atimae mwishoni akaingia mazima kabisa Kijeshi

Hivo ndio hii vita itafika Huko.

Kumekua na vikao vya mabunge na umoja na mazoezi ya kijeshi na maandalizi ya kivita na majeshi kila siku ktk nchi za NATO


Yote hii ni Kwasbbu Gani? Sbbu ni kwamba Dunia kwsasa imekua na kitisho Cha vita ya tatu ya Dunia na ndio maana mataifa ya magharibi yameamka sasa dhidi ya Russia China na North Korea na Iran.

Jambo jingine, mataifa ya magharibi yanapeleka silaha nyepesi na za kawaida sn hapo Ukraine. Hivo tusiongeze chumvi kua Ukraine anapewa sila za kisasa na Kali.
Ha ha haa
 
The killing machine
General James Kabarebe reveals that RDF is a killing machine, and the same ruthless general is proud that this legacy will be honored by the next generation.
soldier without patriotic political education is only a potential criminal.@LewisMudge @Sergiondayi @ENtamushobora https://t.co/q1X2UpZSGi
Wakipita hamwachi mtu akiwahai.

zitto junior mtu chake Proved
 
Bora wewe una moyo wa huruma kuliko pro Russia wenzio.., usikose pia kumwonea huruma huyu hapa maana siku si nyingi atakamatwa kama kukuView attachment 2450120

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sasa ndo nini hii,
Au tuna bishana na watu wenye akili na Kitoto nini
eben-driving-1.gif
eben-driving-1.gif
 
Leo Tena Ukraine imezidi kutembeza kibiriti ndani ya urusi pamoja na Crimea

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hivi nyinyi mna tatizo gani,kama ni ushabiki hii sio simba-yanga la sivyo mnajishushia heshima ya upeo mbele ya watu,vita inapiganwa mfadhili mkuu ni western. media zote CNN BBC ALJAZEERA FOX DW zote zao unafikiri kwa huu utaftaji wenu wa habari kwa kusikilixa DW mchana na ku-google latest news utapata taarifa sahihi? Naamini we ni msomi jaribu kuwaza nje ya box pia achana na media za Russia+western utapata uhalisia
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Captain wa Ukraine ameng'ata ulimi baada Warusi kudondosha mabomu ya mota
Screenshot_20221218-101835~2.jpg
IMG_20221218_101808.jpg
IMG_20221218_101825.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Special military operation inamaliza mwaka sasa na Vita bado vinaendelea, je malengo ya uvamizi na mvamizi yamefanikiwa ?

1954 mohamedidrisa789 Sela Son
Urusi amebugi sana kwa hii vita.., kiufupi ameingia Cha kike..,wengi wanajua tu kwamba hii ni vita iliyokadiliwa kumalizika ndani ya saa 72,ikizidi sana wiki, lakini hawaamini wanachokiona. , Wamebaki kujaza imoji za kujichekesha Ili kuficha aibu, lakini ni ukweli kwamba Wana uchungu sana moyoni maana walichotegemea kimekuwa tofauti kabisa

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kama umepata nafasi ya kusali hata ibada ya pili Leo jumapili usikose kuwaombea warusi jamani.., wanapukutika mno.., kiukweli Wana Hali mbaya lakini ndo hivyo..,hawana jinsi kwa kweli 🥱[emoji24]
1671351085613.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
The United States said that Zelensky had already lost the war
Ukraine has already lost an armed clash with Russia. This was stated by retired US Colonel, former Virginia Senator Richard Black. According to him, Kyiv cannot endlessly replenish the losses, the human reserve has been exhausted.
"The ongoing battle for Bakhmut (Ukrainian name for Artemovsk - ed.) in Ukraine has gradually become a disaster for the Ukrainian army, as Russia has successfully begun to quadruple its armed forces by the beginning of next year," the colonel said.
As Black emphasized, the Ukrainian side is throwing literally thousands into the cauldron of death in Bakhmut, and one gets the impression that they have no solution. Russia wins in Bakhmut, Ukraine loses there - this is evidence that this battle in the war is becoming strategic.
 
Na wapi kuna sehemu inayonyesha wingereza imelipua bomba maana kila kitu lazima kuwe na ushahidi.wingereza hata kama wao wanausika basi jua kwamba ni ngumu wao kuacha ushahidi
Mbona sasa unabishana na Russia wenzako

 
Kwenu pro Russia

Mwaka 2022 unaisha Still Russia anapigana na Ukraine, Malengo ya so called Special Military operation bado hayajitimia (Hadi sasa Russia ameshindwa kuiteka Luhansk and Donesk)

Amekimbia maeneo aliyoyateka, Bidhaa zake za mafuta zimaanza kuuzwa kwa discounted price
 
Back
Top Bottom