Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Yani Urusi ishambulie alafu ulipoti wewe peke yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Vunjo ebu tuache kidogo.tukio kama ilo likitokea Urusi basi vyombo vyote vya magharibi habari ndiyo iyo.
Mbona urusi wanachakazwa Sana tu?? Hata Leo wamechakazwa huko Crimea.., pamoja na maeneo ndani ya urusi,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] izo habari mmezitoa wapi.yani crimea ishambuliwe alafu mitandao ikae kimya.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]

Ebu acheni utani basi.
 
Urusi ameshazoea kuchakazwa.., kuchakazwa urusi sio habari Tena..,vituo vyake vya mafuta juzi vilichakazwa, Kambi kadhaa za kijeshi huko urusi zinachakazwa kila kukicha..,hata warusi wenyewe wameshazoea kusikia sauti za milipuko kwa sasa

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Urusi ameshazoea kuchakazwa.., kuchakazwa urusi sio habari Tena..,vituo vyake vya mafuta juzi vilichakazwa, Kambi kadhaa za kijeshi huko urusi zinachakazwa kila kukicha..,hata warusi wenyewe wameshazoea kusikia sauti za milipuko kwa sasa

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha utani nikisanyie mashambulizi hata 20 yaliyofanyika Urusi kama yanafika njoo unikate kichwa.

Maana yanahesabika
 
Video umeletewa kabisa ukionyeshwa Urusi anavyotembezewa mkong'oto.., unataka ushaidi gani Tena ??

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Yani video ya Vunjo nifungue ili nipoteze MB zangu.kwani hakuna hata chanzo kimoja kilichotoa taarifa.au ni tukio dogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
He is a bitch...... He set up us...
Slava Russo..... Slava Russo......
Battery low
Nimemuonea hadi huruma......
Bora wewe una moyo wa huruma kuliko pro Russia wenzio.., usikose pia kumwonea huruma huyu hapa maana siku si nyingi atakamatwa kama kuku
1666891558188.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha utani nikisanyie mashambulizi hata 20 yaliyofanyika Urusi kama yanafika njoo unikate kichwa.

Maana yanahesabika
Acha masihara bwana.., mpaka Putin aliamua kufanya kikao kujadili Hali ya usalama alafu wewe unasema mashambulizi yanahesabika??..,kama Putin ameukubali mkong'oto anaotembzewa,wewe ni nani ukatae??

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Russia wamepokea NDOIGE zingine Ukraine inaenda kugongwa za chembe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20221217-201541~2.jpg

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Acha masihara bwana.., mpaka Putin aliamua kufanya kikao kujadili Hali ya usalama alafu wewe unasema mashambulizi yanahesabika??..,kama Putin ameukubali mkong'oto anaotembzewa,wewe ni nani ukatae??

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una jibu zaidi ya ili.basi sawa kutoka 20 nakupunguzia mpaka 15.ukiweka matukio 15 basi mimi utoniona tena hapa jamii forrum.nasubiri jibu lao
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Russia wamepokea NDOIGE zingine Ukraine inaenda kugongwa za chembe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2450121

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sawa, tumekusikia

Shusha sket uchanjwe sasa [emoji56]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Acha masihara bwana.., mpaka Putin aliamua kufanya kikao kujadili Hali ya usalama alafu wewe unasema mashambulizi yanahesabika??..,kama Putin ameukubali mkong'oto anaotembzewa,wewe ni nani ukatae??

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kila page kuna comments zako. Unaonekana wewe ni jobless.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una jibu zaidi ya ili.basi sawa kutoka 20 nakupunguzia mpaka 15.ukiweka matukio 15 basi mimi utoniona tena hapa jamii forrum.nasubiri jibu lao
Unataka habari za mashambulizi yote hambayo Ukraine amefanya ndani ya urusi? Huo muda napata wapi kwa mfano..,kamuulize Putin ni nini kilichomfanya Aite kikao cha kamati ya usalama kujadili Hali ya usalama nchini urusi..,huyo atakusimulia machungu ya mkong'oto hambao anaendelea kutembezewa

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Mwanamgambo wa Ukraine siku 5 baada ya kupekekwa Bakhmut amekutana joto ya jiwe mpaka kachakaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20221217-202943~2.jpg
IMG_20221217_202930.jpg
IMG_20221217_202933.jpg

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Mwanamgambo wa Ukraine siku 5 baada ya kupekekwa Bakhmut amekutana joto ya jiwe mpaka kachakaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2450140View attachment 2450142View attachment 2450143

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ndio kazi ya askari hiyo.. ,ulimtaka ameremete kama wewe keyboard "wolia"??

Back
Top Bottom