President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
2. Federation: East Tower/Moscow/Russia
Mkuu ujue ARMENIA 🇦🇲 kuna demu wangu kule.....Wqpi urusi ameomba silaha wewe leta ushahidi.
Urusi bado anauza silaha na juzi tu kapeleka silaha armenia.
Unapingana wenyewe kwa wenyewe umbukeni kwanzaImerusha drones 23 kulenga mji wa Kyiv
19 zimepigwa chini na 4 ndio zimefanikiwa kulenga target
Lakn sio afanye supapawa ni aibu.Hata vita vya kagera tulikuwa tunapigiwa ngoma kujiburudisha na kuongeza morali, inaonekana we mtoto wa juz juz tu
Huyu ni ndugu yako?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nasikia kiwanda cha Antonov kimeenda na mmaUkraine imedondosha drone aina ya Kamikaze 15 kati ya 20,asubuhi ya leo[emoji848]
.....
Ukraine's air defense shot down 15 out of 20 iranian kamikaze drones that attacked Kyiv early this morning – Mayor Klychko
View attachment 2451475