Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

MADE IN RUSSIA

KАМАZ-65953
39825dd090a4dfb1d00deeddf131d23d.jpg
Kuna baba yangu mdogo alikuwa anaendesha chuma za KAMAZ wakati barabara ya Kahama- Burundi via Ngara inawekwa lami anakwambia hizi chuma zina nguvu haijawahi kutokea. Anakwambia sio Astra, Scania, Man wala Jiefang zilikuwa zinaifikia kwa kazi
 
Kushambulia na kumiliki ni vitu viwili tofauti. Aerial attack sio sawa na air dominance
Unaweza kushambulia kama hujamiliki !!?

Sasa ili iweje ndio tuamini kama anga halija milikiwa na iweje ndio tujue kama limemilikiwa !!?

Maana naona target kila leo zinapigwa shida nahisi munataka RUSSIA aende mnavyotaka nyie maana kama anauwezo wakushambulia sidhanii kama kuna ulazima wakupeleka ndege ama njia nyengine mnayoiona ninyi sahih

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Belarus and Russia have agreed to train the crews of combat aircraft of the Belarusian army, which have already been converted for the possible use of air-launched ammunition with a special warhead This was stated by Russian President Vladimir Putin to journalists following the talks with President of Belarus Alexander Lukashenko."
 
Back
Top Bottom