Mrengwa wa kulia
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 1,145
- 3,765
Polling shows that some 80% of Ukrainians had a positive attitude to Russia in 2013; by May 2022, the figure was just 2%. A university lecturer told me that his students now write “russia” with a small initial letter. “I don’t correct them.”
Kuna mataifa Yana mawe Aseee [emoji38][emoji23] Halafu ukicheki vizuri kiasi kikubwa cha fedha kinabaki hapohapo Marekani kwenye makampuni ya silaha zinazoenda Ukraine kama Lockheed, Raytheon, Boeing,Northrop Grumman,nkGood morning. The US Congress is about to send another $44 billion to Boeing, Raytheon and the CIA "for the war in Ukraine."
That's a total of $100 billion sent by the US in 10 months.
The entire Russian military budget for the year is $65 billion.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ATACMC ni kuvuka mipaka sasa[emoji23]Wadau wanasema km US Katoa patriot kwanini asitoe na ATACMS?
Hahahaha si juzijuzi hapa Babu aliongeza idadi ya wanajeshi mpk 1.15m[emoji23] Leo wanaongezA tena mpk 1.5m. Watakiona cha mtema kuni[emoji23][emoji23][emoji23]The Russian military's expansion from 1 million to 1.5 million troops is linked to the Ukraine War's continuation in 2023
No target date has been set and the main detail Shoigu provided was that 695,000 volunteer contract soldiers will be included in the army
Wewe Antonio.unaongea vitu ambavyo viliishajadiliwa sana humu....unaushabiki tu...unaonekana kama mgeni humu..vipi ndugu??Good morning. The US Congress is about to send another $44 billion to Boeing, Raytheon and the CIA "for the war in Ukraine."
That's a total of $100 billion sent by the US in 10 months.
The entire Russian military budget for the year is $65 billion.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani we acha tu.Kuna mataifa Yana mawe Aseee [emoji38][emoji23] Halafu ukicheki vizuri kiasi kikubwa cha fedha kinabaki hapohapo Marekani kwenye makampuni ya silaha zinazoenda Ukraine kama Lockheed, Raytheon, Boeing,Northrop Grumman,nk
Ngoja kwanza mifumo ya ulinzi wa anga iimarike alafu ndo zije hizo sasa ATACMSATACMC ni kuvuka mipaka sasa[emoji23]
Mnajichanganya Sana..Jana mlisema kuwa Zele alikuwa Bakhmut na kwamba mji huo umekombolewa...Leo mnasema ndani ya siku kadhaa Bakmut itakuwa imekombolewa yote...hivi Russia ilishawahi kutangaza kuiteka Bakhmut?! Hivi hiyo Jana je Zele alikuwa Bakhmut kweli?!Russia wameanza kukimbia Bakhmut na ile Batalioni ya Chechinia iliyopelekwa ikapigane vita vya mitaani pamoja na Mamluki wa Wagna wamechakazwa vibaya na kikosi Cha Ukraine kilicho well trained with full equipments
Ndani ya siku kadhaa Bakhmut inakua chini ya Ukraine
Mkuu hayo makubaliano yalifanyika lini ma wapi? Acha ujinga( sio tusi) tangu mwanzo Zelensky hajawahi kukubaliana chochote na Russia zaidi ya yote US walitaka kumtorosha akasema hataki kuondoka anataka silaha. Hivi huwa hizi taarifa mnatoa wapi?Kuna mambo unabidi uyaelewe na duniani hakuna jipya!
Kama una uchache wa taarifa tumia akili. Akili huwa inaunda logic kwa kuwazua mambo tofauti. Ukiwa na taarifa (elimu kwa kusoma) huwa inaleta uwiano (inaleta balance) kwa sababu kuna mpaka akili huwa inaishia inatumika elimu.
Ikiwa mtu akikosa elimu na akili basi mtu huyo amefikisika. Na unaweza ukawa na elimu na ukawa hauna akili na unaweza ukawa hauna akili lakini unayo elimu. Mwisho wa jambo moja ndiyo mwanzo wa jambo jengine.
Nukta kuu ni nini kuyatanguliza hayo!
Wengi wao huu mgogoro wameanza kuufutilia baada ya vita na ikiwa hiyo ndiyo hali inawabidi wakusanye matukio angalau machache na kujiuliza maswali na hapa ndipo itakapo gundulika ana akili au hana?!
Tukio la kwanza: Urusi ilipoizingira Kieve mwanzo kabisa wa huu mgogoro rais wa Ukraine Bw. Zelensky alijificha kabisa na haikufahamika yuko wapi! Alijitokeza punde tu baada ya makubaliano baina ya pande mbili (Russia na Ukraine) yaliyofanyika chini ya upatinishi wa Turkey.
Pili; viongozi wa mataifa tofauti wameonekana wakienda kuzuru Ukraine licha ya kuwa nchi hiyo inarindima mabomu na risasi. Kipi ambacho kinawapa ujasiri?
Ikiwa akili ya mtu ikiwaza kinamna hii itahitaji jawabu! Na hapa ndipo itakapofikia ukomo wa akili na kuacha kwa aliyejifunza haya; imma kwa aliyesomea au kwa kusoma kwa mtu juhudi zake binafsi ili aongeze maarifa na hapa tunafungisha kwenye kifurushi kinachoitwa elimu kwa sababu ukiongeza taarifa zaidi unaongeza mawanda yako ya elimu.
Hivyo, mtu haimfai kuwaza kwa vitu ambavyo majibu yake yanatokana na elimu. Na mtu haimfai ajenge hoja kwa vitu ambavyo vimezidi uwezo wake wa akili. Kwa sababu ataonekana ana entertain ujinga.