Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Huyu Babu si alisema atakaemsaidia Ukraine atakiona cha mtema kuni Leo amebaki kubweka tu kama mbwa koko
Anaenda kuamrishwa akubali kuongea na Urusi.ha ha haa.Yaani we acha tu.
Muacha Putin aende Belarus
Nimefatilia safari ya Zelensky kwenda US yaani imeratibiwa na jeshi la anga la US.
Na amesindikizwa na ndege za kijeshi kutoka Ukraine badi Poland then mpk US. Na anakwenda kufikia ktk Kambi ya kijeshi yaye na ndege ake
View attachment 2453800
Dadeki naona hapo kuna Excalibur 500. Hiyo kitu precision yake ni hatariii imepasua Sana vifaru vya mrusi
Mkuu, Mimi swali langu lipo very specific.Kama hutaki kuamini bisha upewe picha nyingine uombe msaada wa geolocation. Na Zelensky akifika Marekani ubishe tena
Hawana usafiri wanaunga unga kama MaliMwamba alitumia ndege ya Jeshi la Anga la Marekani View attachment 2453983