Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Unajua kwanini kuandaa kombe l dunia Qatar jmekuwa gharama kubwa kuliko ungeliandalia England au Brazil?That's a total of $100 billion sent by the US in 10 months.
The entire Russian military budget for the year is $65 billion.
Mkuu hayo makubaliano yalifanyika lini ma wapi? Acha ujinga( sio tusi) tangu mwanzo Zelensky hajawahi kukubaliana chochote na Russia zaidi ya yote US walitaka kumtorosha akasema hataki kuondoka anataka silaha. Hivi huwa hizi taarifa mnatoa wapi?
Ukraine hawana ndege ya rais?Mwamba alitumia ndege ya Jeshi la Anga la Marekani View attachment 2453983
Hii ilikua ni kusave face tu,Russia kila anapofurushwa anatafuta sababu. Ukweli ni kwamba hakukua na makubaliano yoyote yale Kati ya Ukraine na Urusi na negotiations zilivunjika kama ulifatilia vizuri tangu mwanzo.
Watu waliopanga safari kwa sababu za kiusalama ndio waliamua apande ndege ya Jeshi la Marekani,habari za ndege ya Rais wa Ukraine kwasasa si wakati wake.Ukraine hawana ndege ya rais?
[emoji298]️American media reported on increased security measures regarding Zelenskyi's trip to the USA.Ukraine hawana ndege ya rais?
Mosi; anyone can find the switch after the lights are on.Hii ilikua ni kusave face tu,Russia kila anapofurushwa anatafuta sababu. Ukweli ni kwamba hakukua na makubaliano yoyote yale Kati ya Ukraine na Urusi na negotiations zilivunjika kama ulifatilia vizuri tangu mwanzo.
Makubaliano yaliyofanikiwa ni haya ya juzi juzi Kati ya Turkiye,UN na Russia kuhusu usafirishaji wa nafaka.
Russia anakuja kusema sijui kuongeza uaminifu wakati ameshapoteza elite soldiers wake kibao hapo ikiwemo lile limsafara lake la 65km kukatwa vipande vipande,ndoto za kukamata Kiev zimetoweka ndo anakuja na story za mutual trust ili asionekane ameshindwa!!!!
Russia imetumia miezi tisa kupigana na watu unaosema hawana usafiri na bado haijamaliza. Kisha inataka kupigana na NATO
Kwako piaMosi; anyone can find the switch after the lights are on.
Pili; He who knows all the answers has not been asked all the questions.
Tatu; If you are the smartest person in the room, then you are in the wrong room.
Nikutakie kila la heri [emoji120]
Urusi tangu mwanzo General wao Mmoja alisema na niliweka humu.... "Hatuna haja ya kumuua Zele ..SABABU tunahitaji Rais halali wakati wa kusaini makubaliano yoyote yatakapofikiwa" mwisho wa kunukuu.... Kama Katibu mkuu wa UN alikuwa Kiev na hotel ya jirani tu ikapigwa mabomu Zele ... Wanakahitaji hako kakinyago wakati wa makubaliano ndio maana wanakaacha kazurure.Na swali muhimu kwa nini wamuue?
Hivi mtu anatoa wapi uthubutu wa kulazimisha mtu au nchi ifanye kile wanachotaka wao?
Kila mtu ana njia zake za kupambana na yanayomkabili na kila nchi ina njia zake za kupambana kwa yanayowakabili.
Nafikiri swali muhimu lingekuwa ni kujiuliza wanampango naye gani? Na kitu ambacho jawabu wanalowenyewe warusi.