Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ha ha ha ha hua nawaambia Hawa Russia haiwezi kupigana na NATO
Ndio Russia hawezi kupigana na jeshi imara zaidi duniani lililoshindwa Vita kuanzia Korea , Vietnam na Afghanistan.
Nato Kupigana na Russia direct Ni Jambo la kujimaliza wao wenyewe kwa miaka 70+ ya cold war USSR na USA ( NATO) walimaintain swala la mawasiliano kuhakikisha direct conflict inaepukwa. Hebu fikiria majiji Kama New York, Washington, Kazan ama Moscow yarudi Zama za mawe Kama Mariupol na Tripoli 2011 kwa majibizano ya makombora ya hapana pale.
Direct conflict ya NATO na RF Ni hadithi ambayo kwa kizazi chetu haitatokea.
Tuliokuwepo katika kipindi Cha Coldwar 1962 Cuban missile crisis, Vietnam war, Suez Canal war, Yom Kippur war tuna mengi ya kujikumbusha hasa katika ishu ya tension. Tension ilikuwa kubwa Us na Soviet Russia wakatishiana nyuklia. Tension ya kivita Kati ya Us na Russia Hapo ukraine Ni ndogo Sana kiasi kwamba US ameepuka kabisa ishu ya kujisogeza Ukraine direct.
 
Usitaje ambayo hayajashambuliwa, nahitaji hayo majiji ya Russia yaliyoshambuliwa na Ukraine. Je Ukraine inamiliki anga la hayo majiji ya Russia? Swali liko hapo tu
Mpaka apo bado hujaona kama kuna mmoja anamiliki anga la mwenzie namwengine hajamiliki MKUU

Mmoja anamiliki anga la mwenzake nandio maana anauwezo wakufanya mashambulio yaanga popote pale katika ama kupitia anga hilo hilo mnalosema hajalimiliki

RUSSIA katumia anga hilo hilo ambalo mnatuaminisha kwamba hajalimiliki kupiga popote alipojisikia hapo UKRAINE ikiwemo KIEV hata kitendo cha elensky kuomba iwekwe no fly zone ilikua inaonesha hili nahata kitendo cha elensky kuomba patriot sababu anajua kua anga lake halipo salama

Mmoja hamiliki anga nandio maana anashambulia huku mpakani mpakani BELGOROD sanaaa na hapo CRIMEA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio Russia hawezi kupigana na jeshi imara zaidi duniani lililoshindwa Vita kuanzia Korea , Vietnam na Afghanistan.
Nato Kupigana na Russia direct Ni Jambo la kujimaliza wao wenyewe kwa miaka 70+ ya cold war USSR na USA ( NATO) walimaintain swala la mawasiliano kuhakikisha direct conflict inaepukwa. Hebu fikiria majiji Kama New York, Washington, Kazan ama Moscow yarudi Zama za mawe Kama Mariupol na Tripoli 2011 kwa majibizano ya makombora ya hapana pale.
Direct conflict ya NATO na RF Ni hadithi ambayo kwa kizazi chetu haitatokea.
Tuliokuwepo katika kipindi Cha Coldwar 1962 Cuban missile crisis, Vietnam war, Suez Canal war, Yom Kippur war tuna mengi ya kujikumbusha hasa katika ishu ya tension. Tension ilikuwa kubwa Us na Soviet Russia wakatishiana nyuklia. Tension ya kivita Kati ya Us na Russia Hapo ukraine Ni ndogo Sana kiasi kwamba US ameepuka kabisa ishu ya kujisogeza Ukraine direct.
Nimelipenda andiko lako hili...congratulations....
 
Sasa tulia hivo hivo. Yaani Russia, North Korea, Iran na China Hawa wote lazima wakubaliane na matakwa ya watu wa magharibi ili kupitisha New World Order na mfumo Kristo utawale Dunia.
 
New world order has nothing to do with Christianity. New world order is the spirit of antichrist[emoji848]
Well. Do you think there is no relationship between Christianity and New World Order/Antichrist? Or you think the antichrist will come from Asia countries?
 
Pole...ukitoka salama utusimulie hali yote kwa ujumla...maana eneo Hilo ni jehanum kwa Ukraine
Lazima niwape hbr

Unamuona kiboko ya Putin Huyu chini???

[emoji116][emoji116][emoji116]

Mwamba ndani ya nguo za kz.[emoji123][emoji123][emoji123]
Screenshot_20221222-122549.jpg
 
Jamaa anapewa coordinates na intelligence asset za NATO sasa ndugu yetu Supapawa upande wa ISR ni mbovu anashindwa hata kulinda miundombinu yake muhimu ya Gas na mafuta ndani ya nchi yake kila siku inalipuliwa lipuliwa.
Alichobakiza ni kuharibu transfoma za Umeme tu.
Nimeona boss wa roskosmoz kakoswa koswa uawa na Ukraine huko Donesk.

Nimeamini dunia nzima hakuna anayemuweza USA ikija vita ya nchi kwa nchi
 
Sasa tulia hivo hivo. Yaani Russia, North Korea, Iran na China Hawa wote lazima wakubaliane na matakwa ya watu wa magharibi ili kupitisha New World Order na mfumo Kristo utawale Dunia.
Mfumo kristo? Ah Mambo haya mi siyajui but kwa uelewa wangu Ni Kwamba Russia na US wanaendelea kupigania hegemony ya kuwa waamuzi wa kila kitu duniani.. kiuchummi,kijeshi na ki
 
Kumekuchaaa

[emoji298]️ China’s largest shipping company, "China Cosco Shipping", refused to carry Russian oil, reports Bloomberg.

Also, Greek Avin International announced a "boycott" of Russian oil. It's a fleet of 35 tankers with a total capacity of 2.5 million tons.

Hao wanajua BIMA haitakubali
 
[emoji298]️ The US Congress may approve a new aid package for Ukraine worth 45 billion dollars in the next 48 hours, says the Speaker of the House of Representatives Nancy Pelosi, reports the "Voice of America".
 
Back
Top Bottom