Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Jamaa anapewa coordinates na intelligence asset za NATO sasa ndugu yetu Supapawa upande wa ISR ni mbovu anashindwa hata kulinda miundombinu yake muhimu ya Gas na mafuta ndani ya nchi yake kila siku inalipuliwa lipuliwa.
Alichobakiza ni kuharibu transfoma za Umeme tu.
Vita ni intelligence sasa kama intelligence yote ya Nato ipo ukraine afu BADO kuna watu wanakaza fuvu wakidai russia hapigani na NATO.
 
FkkJMoRX0AAi48y.jpeg.jpg
 
Nimekutolea mfano wa kampuni zilizoondoka na kwamba karibu zote zina mibadala yake.

Mfano;
Mc Donald ilivyoondoka Oligarchy wa Urusi akaona fursa akafungua Vkusno i Tochka.
Toyota ikiondoka warusi wataendesha Lada.
Adidas ikiondoka warusi watavaa viatu vinavyotengenezwa na kampuni za Russia.
Apple akisepa watatumia Huawei.
Kwa iyo tunakubaliana kuwa Urusi anakila kitu kwake.nchi gani nyingine ina uwezo kama wa Urusi.ebu taja nchi 5 tu kwa hapa duniani.

Iwe imejikamilisha kiviwanda, nishati na madini
 
Unconfirmed, but local telegram channels are reporting an assassination attempt by artillery in Donetsk on Roscosmos head Dmitrii Rogozin and Vitalii Khotsenko, high official in the Donetsk proxy government. Khotsenko was apparently wounded but Rogozin escaped unhurt.


Same source now saying Rogozin is indeed hospitalised, from a piece of shrapnel to his back.

Reminder that Rogozin is one of the several top Russian officials who has literally called for the genocide of Ukrainians.
 
HIVI. USA NA NATO KUISAIDIA UKRAINE NI JAMBO JIPYA KWENYE UZI HUU. HAKUNA MSAADA AMBAO HAUJATOKA . HUU NDIO UWEZO WA NATO NA USA MENGINE NI BURUDANI TU. HATA HUYO KIMA KWENDA USA HAIBADILISHI KITU KWANI MAWASILIANO YALIKWEPO MUDA WOTE .


"HAKUNA MSAADA AMBAO HAUJATOKA"

Marekani angeamua kuipa Ukraine kila silaha anayohitaji saa hizi majeshi ya Ukraine yangekua yanakaribia kuikomboa Crimea. Ukraine mpk sasa hata long range missiles za 100km hajapewa,hata ndege za maana hana. Urusi inatumia kila aina ya masilaha mpk mahypersonics lkn wapi. Anarusha Cruise missiles za 2000+ Range lkn wapi!!!!
Kima Putin hata kutembelea wanajeshi wake hapo Donestsk anayosema ni Russian forever hajathubutu[emoji23]
 
The US has 3 different models for ending the war in Ukraine through negotiations, writes The Washington Post.

1. Withdrawal of Russian troops from the entire Ukrainian territory they currently occupy, including Crimea and Donbas.

2. Withdrawal of troops to the 2014 line.

3. Withdrawal of troops, including Donbas, but not Crimea.

At the same time, Zelensky categorically rejected the last two options, Ukraine will be satisfied only with the exit to the borders of 1991.
 
In an address to the US Congress, Volodymyr Zelenskyy said Ukraine 'will never surrender' and there will be 'no compromises' in trying to bring about an end to the war with Russia.

More from the speech here: trib.al/UjuVXz7
 
Vikosi vya Warusi kwenye mji wa svatove wakiwa na tank mpya aina ya T-90M wakijiandaa kwa ajili ya kufanya counter attack kwenye mkoa wa Kupiansk(Kharkiv oblast)

[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]





 
Zelensk yeye yupo bize kuwapigia magoti mabeberu huku Ukraine vijana wake wanazidi kupotea tu.mpaka vita inaisha basi Ukraine mtu mmoja atakuwa anauwezo wa kuowa hata wake 70[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]




 
Sasa tulia hivo hivo. Yaani Russia, North Korea, Iran na China Hawa wote lazima wakubaliane na matakwa ya watu wa magharibi ili kupitisha New World Order na mfumo Kristo utawale Dunia.
Ukristo unaingiaje hapa kwenye NWO,
Yaani watumie biblia
Watumie watumishi hawahawa nikiwepo na mimi hapa
Watumie maombi yaleyale wanayoomba kila siku

MAMBO MENGINE MUWE SERIOUS
Haujui kama NWO haichagui dini inahusisha wote duniani
Mifumo yootee kwenye nyanja zote, uchumi, siasa, jamii na utamaduni,
utake usitake, kupona kwako ni KUCHAGUA KWAKO

fikiria kidooogoooo kabla hujaposti boss[emoji28][emoji28]
 
Wewe ndio ufiche ujinga wako, August Putin alitangaza kuongeza idadi ya wanajeshi 137,000 zaidi kufikia 1.15m. Miezi minne baadae wanaongeza tena wengine kufikia 1.5m.

Sasa wapi nilipoongelea deployment ya wanajeshi 1M?! Msomage kwa makini na kuelewa kabla ya kumjibu Mtu.

Mbona huyo Urusi wako nae kaongeza import toka Ujerumani?! Cha ajabu kipi hapo?! Si kila siku anasema Ujerumani si nchi rafiki sasa mbona kaongeza importation ya bidhaa toka Ujerumani?!

Wapi NATO wamesema hawawezi mkabili tena Urusi?! Leta ushahidi!!!
Duuu.... Tafuta speech ya Waziri Mkuu wa Finland ..IPO humuhumu niliweka... Ficha tena ujinga....
 
Back
Top Bottom