Mpaka apo bado hujaona kama kuna mmoja anamiliki anga la mwenzie namwengine hajamiliki MKUU
Mmoja anamiliki anga la mwenzake nandio maana anauwezo wakufanya mashambulio yaanga popote pale katika ama kupitia anga hilo hilo mnalosema hajalimiliki
RUSSIA katumia anga hilo hilo ambalo mnatuaminisha kwamba hajalimiliki kupiga popote alipojisikia hapo UKRAINE ikiwemo KIEV hata kitendo cha elensky kuomba iwekwe no fly zone ilikua inaonesha hili nahata kitendo cha elensky kuomba patriot sababu anajua kua anga lake halipo salama
Mmoja hamiliki anga nandio maana anashambulia huku mpakani mpakani BELGOROD sanaaa na hapo CRIMEA
Sent using
Jamii Forums mobile app