Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Zelensk akiwa kwenye bunge la Marekani amesema kuwa ni swala la muda tu Urusi kuvamia nchi nyingine mshirika wa Marekani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Inabidi tumuite Zelensk tumuoji vizuri ili atuambie iyo nchi ambayo Warusi muda sio mrefu wataivamia.pia nchi yenyewe ni mshirika wa Marekani
Let source usikimbilie kuwakazia wenzako hawaleti source kisa story inamuhusu urusi.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
"HAKUNA MSAADA AMBAO HAUJATOKA"

Marekani angeamua kuipa Ukraine kila silaha anayohitaji saa hizi majeshi ya Ukraine yangekua yanakaribia kuikomboa Crimea. Ukraine mpk sasa hata long range missiles za 100km hajapewa,hata ndege za maana hana. Urusi inatumia kila aina ya masilaha mpk mahypersonics lkn wapi. Anarusha Cruise missiles za 2000+ Range lkn wapi!!!!
Kima Putin hata kutembelea wanajeshi wake hapo Donestsk anayosema ni Russian forever hajathubutu[emoji23]
"Marekani angeamua kuipa Ukraine kila silaha anayohitaji..."

Ni kwa nini marekani haiamui/haijaamua kuipa Ukraine kila silaha wanayoihitaji!?
 
Attachments

  • IMG_20221222_205658.jpg
    IMG_20221222_205658.jpg
    69.9 KB · Views: 19
Ukraine kashapeleka zawadi ya Christmas Moscow [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1255][emoji1255]

[emoji298]️A video appeared on social media from the scene of the explosion of the car of the "head" of the Russian-controlled Lyubimivka of the Kherson region, Andriy Stepa, who died on the spot.

Bado kuna li manoari Moja inawaka moto huko Russia
 
Mfumo Kristo ndio utatawala baada ya Russia kushindwa
Kristo yupi unataka aje!!

What is the Hebrew meaning of Christ?

The Greek word ΧΡΙΣΤΟΣ (CHRISTOS) translates the Hebrew מָשִׁיחַ, (māšīyaḥ), anglicized as Messiah, which means “anointed with oil.” Hebrew kings, prophets, and priests were anointed with oil.
 
Na Bado waziri wa ulinzi wa US anasema inawagharinu just a peanut kuishinda Russia
Marekani imetumia 5% ya budget yake ya jeshi kuipa misaada Ukraine mwaka huu. Russia ikitaka kupigana na US bado kuna 95% ya budget ya mwaka huu hapo tusigusie miaka iliyopita. Bajeti ya jeshi Marekani ni 3.4% ya GDP, kwa Russia ni 4.3% ila Marekani inaizidi Russia kwa bajeti hiyo mara 10
 
Kwanini ametuma!? Na amesaidia nini!?
 
Kristo yupi unataka aje!!

What is the Hebrew meaning of Christ?

The Greek word ΧΡΙΣΤΟΣ (CHRISTOS) translates the Hebrew מָשִׁיחַ, (māšīyaḥ), anglicized as Messiah, which means “anointed with oil.” Hebrew kings, prophets, and priests were anointed with oil.
Jadali
 
Back
Top Bottom