President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Jadali ndio nini. Au umevuta bangi leo!?Jadali
Jadali ndio nini. Au umevuta bangi leo!?Jadali
Marekani ilitumia asilimia nyingi ya bajeti kwenye vita ya Afghanistan na haikupata faidi zaid ya kushindwa vita hats kwenye vita ya Ukraine bajeti take haijasaidia kitu ndo kwanza silaha zake nyingi zinaangukia kwenye mikono ya urusi Leo hii javelin ant tank zimetua kwenye mikono ya IranMarekani imetumia 5% ya budget yake ya jeshi kuipa misaada Ukraine mwaka huu. Russia ikitaka kupigana na US bado kuna 95% ya budget ya mwaka huu hapo tusigusie miaka iliyopita. Bajeti ya jeshi Marekani ni 3.4% ya GDP, kwa Russia ni 4.3% ila Marekani inaizidi Russia kwa bajeti hiyo mara 10
Bahati nzuri hapa umeilinganisha Urusi na Tanzania. Hakuna ubishi kwenye hili Urusi yuko juu, ila sasa hao wengine kina South Korea wana uchumi safi kuliko huyo mchuuzi wa mafuta na gesiHakuna hapa Duniani wa kuweza kumkabili Urusi kwa uchumi na kijeshi, ilo mbona lipo wazi wala huitaji kuwa na macho matatu.
Kampuni kubwa 1000 zilijiondoa Urusi baada ya kuanza kwa Vita ya Ukraine, kampuni zote kubwa Duniani unazozijua wewe zimefunga ofisi na viwanda vyao kwa sababu ya Urusi kuvamia Ukraine.
Sasa vuta picha imekuwa ndo Tanzania kampuni zote kubwa 1000 zimejiondoa, unafikiri maisha yangekuwaje kama sio kirudi miaka ya 500.ila ni tofauti na Urusi kama vile hakuna kilichotokea.
Watu wengi walikuwa wanaichukulia poa Urusi, ila naimani sasa watakuwa wanaelewa kuwa Urusi ni nchi ya aina gani
Marekani haitafuti faida kwenye vita ya Ukraine. Ina uchumi, teknolojia, ushawishi, nguvu na washirika wa kutosha kuliko kusumbuliwa nchi ambayo hata 10 of the world's best economies haipo.Marekani ilitumia asilimia nyingi ya bajeti kwenye vita ya Afghanistan na haikupata faidi zaid ya kushindwa vita hats kwenye vita ya Ukraine bajeti take haijasaidia kitu ndo kwanza silaha zake nyingi zinaangukia kwenye mikono ya urusi Leo hii javelin ant tank zimetua kwenye mikono ya Iran
Marekani hiyo hiyo imetumia zaidi ya $4trion ambayo ni sawa na uchumi wa Ujerumani lakini alishidwa vita nchini Afghanistan na kundi la wavaa kubanzi wasio zidi hata 50,000 tena wasio na silaha nyingine zaidi ya Ak47 na mabomu ya kujitoa muhanga.Marekani imetumia 5% ya budget yake ya jeshi kuipa misaada Ukraine mwaka huu. Russia ikitaka kupigana na US bado kuna 95% ya budget ya mwaka huu hapo tusigusie miaka iliyopita. Bajeti ya jeshi Marekani ni 3.4% ya GDP, kwa Russia ni 4.3% ila Marekani inaizidi Russia kwa bajeti hiyo mara 10
Jamaa alitak apige picha nje Ili Warussi yupo kwenye eneo ganKama hutaki kuamini bisha upewe picha nyingine uombe msaada wa geolocation. Na Zelensky akifika Marekani ubishe tena
Dah gari nzuri kichizi wanangu. Ningepata moja ningeringa sanaWale mrenda mrenda toka kwa wambea
View attachment 2455055View attachment 2455056
[emoji95][emoji95][emoji95]A large batch of armored vehicles VPK-59095S "VPK-Ural" has arrived at the troops[emoji95][emoji95][emoji95]
Putin anaogopata hata kusogea mji wa mpakan na Ukraine.Mnajichanganya Sana..Jana mlisema kuwa Zele alikuwa Bakhmut na kwamba mji huo umekombolewa...Leo mnasema ndani ya siku kadhaa Bakmut itakuwa imekombolewa yote...hivi Russia ilishawahi kutangaza kuiteka Bakhmut?! Hivi hiyo Jana je Zele alikuwa Bakhmut kweli?!
Utatuhakikishiaje hiyo Ni Russian su 27?Imagine ndege yenye cockpit kama hii inatumiwa na Russia. Ni Su-27K ambayo ni naval variantView attachment 2454843
Huwezi kuta outdated naval jet kama hii jeshi la UK, France au Germany
Ila baadae wakareplace Taliban kwa kuiweka Tena Taliban madarakani Hapo 2021?Vita ni ya miezi michache mwaka 2001. Taliban ikaangushwa na Marekani ikasimamia Hamid Karzai kuwa Rais wa AfghanistanView attachment 2454804
Ameshakwambia hapo ni Su-27k au Su-33 hii ni naval variant ya Su-27. Hiyo ndege hakuna nchi inayo zaidi ya Urusi yenyewe.Utatuhakikishiaje hiyo Ni Russian su 27?
Coz su 27 Ni ndegevita iliyosambazwa Sana kibiashara ethiopia, Eritrea, nk wanazo.
Tafadhali,Tupe sifa ya Russian su 33 naval variant katika cockpit ambayo nikiulizia popote it's kuja picha hiyo.Ameshakwambia hapo ni Su-27k au Su-33 hii ni naval variant ya Su-27. Hiyo ndege hakuna nchi inayo zaidi ya Urusi yenyewe.
Cockpit yake hyo hapoTafadhali,Tupe sifa ya Russian su 33 naval variant katika cockpit ambayo nikiulizia popote it's kuja picha hiyo.