mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Mwambie aguse hata ncha moja ya ardhi ya Urusi aone kama hatujamsoma kwenye vitabu vya historia kwamba kulikuwaga na taifa la marekani miaka iyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]China ndio mpinzani pekee wa Marekani.......huyu Urusi kashafulia kitambo.