kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Kwa nini aiguse..,hata marekani anaogopa kinachompata urusi Kwa kuigusa ardhi ya watu..,kugusa ardhi ya nchi nyingine usifikiri ni kitu simpleMwambie aguse hata ncha moja ya ardhi ya Urusi aone kama hatujamsoma kwenye vitabu vya historia kwamba kulikuwaga na taifa la marekani miaka iyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app