Mambb binafsi yapi?! Subject iliyopo ni Russia-Ukraine conflict....Sasa watu wanatoa knowledge zao kwenye politics, international relations, economics, geography, physics, chemistry, journalism, climate, military, political economy, language, religion, history, etc wanatoa knowledge yao kwenye maeneo yao ambayo yanagusa mjadala...Sasa mtu anaulizwa exposure yake kuhusu nchi alizosafiri ili kupata uelewa wake.. kusafiri ni elimu tosha...Sasa mtu amezaliwa Kinyerezi amesoma shule ya msingi na sekondari hapo Kinyerezi halafu Chuo kikuu CBE Dar es Salaam. Yaani hata Morogoro au Chalinze hajawahi kufika...hajui hata idadi ya makabila Tanzania yaani hata kabila la baba yake hajui na Wala hajawahi kufika kijijini alikozaliwa baba yake....haijui Tanzania, Haijui Afrika na Haijui dunia...yeye anasoma comment ya kipanya hapa JF ikimuonesha mtu aliyefafanana na nguchiro na pia picha ikionesha kidole Cha Kati kimenyooshwa juu...
Sasa mtu wa Aina hiyo Hana knowledge ya dunia...hata ucham uzi wa issues unakuwa wa Shaka...