kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Coment za mwezi wa pili hizi[emoji16]Putin ni genius sana. Urusi ina Rais kwelikweli.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Coment za mwezi wa pili hizi[emoji16]Putin ni genius sana. Urusi ina Rais kwelikweli.
Niliandika hivi mwezi february wiki mbili kabla Putin hajaivamia Ukraine kwa kujifanya ni "Special Military Operation". Jana kasema kuwa "This war is a tragedy", yaani ameukubali muziki wa jeshi Ukraine; amekimbilia kuharibu miundombinu ya kiraia kwa kutumia makombora ya masafa marefu na kuvuruga maisha ya raia wa kawaida tu kuliko kupigana vita na wanaume wenyewe huko frontline.......
(4) Baada ya kumegewa Crimea, Ukraine walianzisha jeshi lao na kulipatia mafunzo na silaha kali sana kutokea Marekani na Europe. Vita ikipiganwa leo haikutakuwa njia rahisi sana kwa Urusi kama ilivyotokea wakati wa Crimea, inawezekana kabisa urusi akajutia kujipeleka katika vita hiyo.
.....
TBT[emoji16][emoji16]To anyone who would consider interfering from the outside - if you do, you will face consequences greater than any you have faced in history,’ ........Rais Makini.
Bado naendelea na TBT[emoji16]Inashangaza,wakati Ukraine ni sehemu ya Soviet Union.
Hadi kufika 2050 USSR itakuwa tayari imerejea, wenzetu wana vision na mission za mbali sana.
TBT[emoji16][emoji16]Huyu ndo Dume sasa...Nato na kenge wengine wamejificha mashimoni.
Ushauri: kuepusha blood shed, Ukraine wajisalimise kwa Dume la Dunia Putin mapema. Ooh, mji mzuri Kyiv uharibike?
TBT[emoji16][emoji16]Uzuri wa Russia hawana historia ya kuingia na kutoka, tangu waakati wa Crimea. So, Ukraine ni hatua ya mbele zaidi. Kitendo cha majimbo mawili kujitenga bila vita na kujisalimisha kwa Russia, ni ushindi wa mapema sana kwa Urusi.
Na uwezekano mkubwa ni kwamba amepata ushirikiano wa Rais wa Ukraine (ingawa Marekani amekuwa akimchumbia kwa muda mrefu). Ili asiwe suspect, amemwachia Russia mnofu wa majimbo mawili wa kuanza nayo katika expansion yake. Baadaye soon Ukraine nzima itakuwa chini ya Russia.
Kweli Russia alikuwa amejipanga [emoji16][emoji16]Wewe ndiye unayejua hayo. Kuanguka kwa Soviet zilikuwa ni njama za kigaidi za Marekani na mamluki wao ambao Soviet hawakuwa wamemjua.
No real Russians ambao wameshakubali kuburuzwa kiasi hicho. Walikuwa wametulia kwa sababu hawakuwa na nguvu za kutosha. But sasa wamejipanga kwa muda mrefu.
Time for some showdown baby!
TBT[emoji16][emoji16][emoji16]Ilikufa externally but internally ni sehemu ya Soviet, that why Russia wanaweza kuamua chochote na vyovyote nchi zote zilizokuwa chini ya USSR.
Tujipe muda Ukraine hadi May 2022 itakuwa ni sehemu ya Russia kwa msingi wa kuilinda na kulinda maslahi ya Russia yaliyotengenezwa enzi na enzi na waasisi.
Duh!....kuifananisha Ccm na Marekani ni matusi....tema mate chini mkuuPutin Jasusi Mbobezi kama Mh. Bernard Membe , amesha ithibitishia dunia ya kwamba yeye ndiye mbabe kwa sasa.
Hivyo Marekani ni kama CCM tu mbele ya Chadema! Yaani mwanamke hawezi kupigana na mwanaume kirahisi tu. Labda akuvizie na kuzikamata zile nanihii (kwa Marekani ni vikwazo dhidi ya Russia), hapo atashinda.
Flow back Friday [emoji16][emoji16]Marekani ya sasa hivi ni mbwa asie na meno!
Ulimwengu wa sasa hivi huwezi kumtishia mtu na vikwazo wakati nchi kibao tayari ni super kiuchumi!
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Kwani hasaidiwi ?Wamedanganywa baada ya kupewa kichwa, ati oooh NATO tutakusaidia
Flow back Friday [emoji16][emoji16]So what's Russia's next move after Ukraine?,Latvia,Lithuania,Romania,Slovakia ?????
TBT[emoji16][emoji16]Masilahi ya Urusi ni NATO kuwa naye mbali.
Raia wengi watateseka na kuumia zaidi Ukraine akijiunga na NATO.
Ni genius kwa namna alivyoingia na anavyotetea masilahi yake, akili kubwa imetumika.
Otherwise hauelewi maana ya genius.
Umepotea mkuu [emoji16]HUYU NDIYE BABA MWENYE NYUMBA
TBT [emoji16]Hii safi Ukraine [emoji1255] ni sehemu ya Russia
TBT[emoji16]Ni kweli, lakini inawezekana by 2050 USSR ikawa hewani ili kupunguza Ushawishi wa USA barani Ulaya.
TBT [emoji16]Moscow huwezi piga Bomu lolote, wana intercept za maana sana pale. Umefikiria kama mtu usiyepita shule au kufuatilia mambo ya kivita.
TBT [emoji16][emoji1787]Putin anachapa miundo mbinu ya kijeshi nchini kote Ukraine.
Duh!...hii Kali..🙄🙄NATO hawana ballistic missiles katafiti vizuri ninahakika Marekani ndo anaendelea kuziendeleza lakini bado hawajafanikiwa.no research no right to talk.
Hapa pro Russia walikuwa wa moto kwelikweli [emoji16][emoji16]Pumbavuu US anavyoharibu nchi za watu mbona hamshoboki??
Na si mlisema hawezi vamia, mnalialia nini sasa? Tuone kama mtaingia vitani au mtaishia sanctions tu..