Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji23][emoji23][emoji23] yani unafananisha vita ya Iraq na vita vya Ukraine.mzima kweli wewe ?
Ulitaka nifananishe na vita ya majimaji?!

Ndani ya week 3 Mrusi alishindwa hata kuiteka Donbass yote ambayo kuna maeneo yupo tangu 2014,wakati huo Ukraine hata silaha za maana hawana wameanza kuja kupewa zile Howitzer baadae Sana wakati warusi washabalaswa Kiev.
 
Urusi ilisepa yenyewe na iliikalia Afghanistan nzima sasa USA imetumia miaka.20 na vita haikushinda[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]


Sasa ndo itaweza kupigana na Iran taisha lililoshiba technology
Alisepa baada kukutwa na nini?![emoji23]

Marekani alipoingia Afghanistan hakuchukua hata mwaka alikua kashaangusha utawala wa Taleban akasimika serikali ya kidemokrasia pale Afghan ambayo imekaa madarakani miongo miwili.
 
Alisepa baada kukutwa na nini?![emoji23]

Marekani alipoingia Afghanistan hakuchukua hata mwaka alikua kashaangusha utawala wa Taleban akasimika serikali ya kidemokrasia pale Afghan ambayo imekaa madarakani miongo miwili.
Mwisho wa siku na marekani ikapinduliwa na Taliban . sasa Taliban ndo wameshika inchi kumbuka lengo LA operation lilikuwa ni kulifuta kundi LA Taliban dogo kubali tu marekani kikeshi INA udhaifu mkubwa ndo maana makamanda wao walikamatwa wengi pale mariupolo 😀😀
 
Kwahiyo Belgorod sio sehemu ya Russia kisa iko mpakani? Ukitumia akili hizihizi utasema Kagera salient haikuwa Tanzania kisa ilikuwa mpakani na Uganda ilipovamiwa na Iddi Amin?

Ulidai Russia anamiliki anga la Ukraine ndio maana anashambulia, nikauuliza Ukraine inayoshambulia anga la Russia inalimiliki unaishia kuzunguka. Narudia kusisitiza, tofautisha air attack na air dominance. Russia hana air dominance Ukraine
Kuna sehem nimesema hio sehem ya RUSSIA !!?

Nimekwambia anaemiliki anga anapiga popote anapojisikia kupitia huko huko angani

Kama RUSSIA hajamiliki anga ya UKRAINE tutajie jiji moja la UKRAINE ambalo halijaguswa na shambulizi la anga la RUSSIA kwasababu tu anga lake lipo chini ya uthibiti wa UKRAINE

Halaf ujiulize kwanini jamaa kaomba sijui NASMAS akaomba No fly zone ila kwakua RUSSIA sio LIBYA basi hawathubutu bado tunaona jamaa kaenda kulialia apewe patriot sababu anajua anga yake inavuja na inamilikiwa nanani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulitaka nifananishe na vita ya majimaji?!

Ndani ya week 3 Mrusi alishindwa hata kuiteka Donbass yote ambayo kuna maeneo yupo tangu 2014,wakati huo Ukraine hata silaha za maana hawana wameanza kuja kupewa zile Howitzer baadae Sana wakati warusi washabalaswa Kiev.
Ujielewi wewe bangi izo zinakusumbua[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwisho wa siku na marekani ikapinduliwa na Taliban . sasa Taliban ndo wameshika inchi kumbuka lengo LA operation lilikuwa ni kulifuta kundi LA Taliban dogo kubali tu marekani kikeshi INA udhaifu mkubwa ndo maana makamanda wao walikamatwa wengi pale mariupolo [emoji3][emoji3]
Marekani haikuwahi pinduliwa na Taleban,iliyopinduliwa ni serikali ya Afghanistan ambayo ilishindwa kupambana na Taleban baada ya Marekani kuondoka.
 
Leteni uchambuzi tujifunze....sasa report kama hii inasaidia nini??Watu tunahtaji tujifunze, sio maswala ya breaking newa cheap....Pro -russia kucopy na kupaste picha za Ukraine kulipuliwa nayo haina maana, the same kwa pro-Ukraine...

Tubadirishe mtazamo wa huu uzi......Tujifunze
Kbsaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu nilichokosea pekee pale tarehe 25 masaa kama 30 hivi baada ya uvamizi kuanza ni kudhani Russia ina Navy ya maana. Ndani ya muda huo nilishaona Airforce ni mbovu zaidi, Army inajitahidi ila nikaamini Navy iko uwezo wa juu.

Nilikuja kuamini sivyo pale Moskva ilivyopigwa na pia purukushani za Snake island.

Russia ikiondoa rushwa, ubadhirifu na ukiritimba kwenye majeshi itafanya vizuri zaidi. Na ni vigumu sana kuondoa mazoea haya, aliyejaribu ni Waziri wa Ulinzi kabla ya Shoigu naye walimuondoa mapema maana hakuwa anaelewana na wezi
Kama hivi Vita vitaisha baadae, huenda vikaliacha jeshi la Urusi likiwa hoi kabisa sababu ya vifo vingi, majeruhi na hata ukosefu wa vifaa.

Wataanza kujenga jeshi kutokea chini kabisa 'from scratch' tena huku wakitafunwa na vikwazo vikali

..........ila inashangaza sana pamoja na uwekezaji wote wa Putin kwenye jeshi tangu Vita vya pili vya Chechneya, bado limeonekana na kasoro nyingi kwenye hii vita.
 
Kama wangeingiza msululu wa ndege huko Mogadishu ungefyekwa balaa


Marekani ingepigana vita na Ukraine isingeteka hata kijiji marekani inajeshi kubwa ila mbinu ni sifuri na wanajeshi wake ni waoga kinoma

Sasa kama kuiteka Mogadishu mlishindwa je ? Mtaweza kuiteka Tehran kweli?
Asilimia kubwa ni mashoga
 
Back
Top Bottom