Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hatimae Babu Putin akubali kinachoendelea Ukraine ni vita na sio SMO,kwahiyo ProRussia zile hahari za SMO ziishe kuanzia sasa[emoji23]

Putin calls Ukraine conflict ‘war’ for first time, says he wants to end it

President Vladimir Putin said Thursday that Russia’s goal is to end the conflict in Ukraine, which he referred to as a “war” for the first time since the February invasion.

Putin made the unprecedented comments to Kremlin pool reporters a day after President Biden hosted Ukrainian President Volodymyr Zelensky and promised him continued and unwavering support.

“Our goal is not to spin the flywheel of military conflict, but, on the contrary, to end this war,” Putin said. “We will strive for an end to this, and the sooner the better, of course.”

Putin’s use of the term “war” caused a stir among his critics in Russia, where there is a law on the books — signed by the president himself in March — which prohibits citizens from describing the “special military operation” in Ukraine as a “war” on pain of heavy fines and jail time.

Nikita Yuferev, an opposition councilor from St. Petersburg, has asked prosecutors to investigate Putin for breaking his own law against spreading “deliberately false” information about the armed forces.

Yuferev said he knew his legal challenge would go nowhere, but he had filed it to expose the “mendacity” of the system.

“It’s important for me to do this to draw attention to the contradiction and the injustice of these laws that he [Putin] adopts and signs but which he himself doesn’t observe,” he told Reuters.

“I think the more we talk about this, the more people will doubt his honesty, his infallibility, and the less support he will have,” the councilor added.

In his challenge, filed in an open letter, Yuferev asked the prosecutor general and interior minister to “hold (Putin) responsible under the law for spreading fake news about the actions of the Russian army.”
Putin hawezi kutamani Tena kuendelea na hii vita kwa jinsi hambavyo tayari amechakazwa.., anachofanya Sasa ni kuendelea kupigana kiume Ili kuficha aibu ya kichapo anachotembezewa

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cheki missile ya Ukraine zilivyoshindwa kutungua Drone ya Urusi. Alafu baadae utasikia kuwa tumetungua 20 zote zilizorushwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Mkuu tukuachana na ushabiki na tukatumia hoja vita ya Iraq na Ukraine haifanani hata kidogo.

Tuanze na vita ya Iraq
(1)Cha kwanza Iraq ilivamiwa na Mataifa mawili makubwa yenye nguvu za kijeshi ulimwenguni ambayo ni Marekani na Uingereza ,na badae mataifa mengine ya NATO yakajiunga na vita hiyo, kwa hiyo Iraq ilipigana na mataifa mengi sema Marekani ndo inatambulika kwa sababu ndo alikuwa kinala wa huo uvamizi.

(2)jeshi la Iraq lilikuwa dhaifu sana na kwa kiasi kikubwa lilidhohofishwa na vita ya miaka 8 kati yake na Iran na lilidhohofika zaidi baada ya kuwekewa vikwazo vya kununua silaha na umoja wa mataifa baada ya kufanya uvamizi dhidi ya Kuwait.

(3)Iraq haikupata msaada wowote uwe wa silaha au kifedha.
(4)Iraq kijografia ni ndogo sana ukilinganisha na Ukraine jambo lillifanya eneo la mapigano kuwa dogo kitu kinacho mpa advantage mvamizi.
(5)Sehemu kubwa ya Iraq ni jangwa ivyo iliipa Marekani urahisi wa kuwalenga wanajeshi wa Iraq.
(6)Jeshi la Iraq lilikuwa na mgawanyiko kwa misingi ya kimadhehebu na kikabila, kitu ambacho ni sumu ndani ya jeshi lolote hata kama lingekuwa na nguvu kiasi gani, hali hiyo iliipa faida Marekani kiasi kwamba Marekani na washirika wake waliteka miji mingi bila upinzani wowote wa kijeshi.

Kwa maelezo haya utagundua hii vita ya Iraq mlinganyo wa nguvu ulikuwa haupo kabisa manaanisha upande wa wa Iraq ulikuwa dhaifu sana wakati upande wa Marekani na washirika wake ulikuwa na nguvu kubwa sana.

Tuje kwenye vita ya Ukraine.

(1) Ukraine imevamiwa na taifa moja ambalo ni Urusi.
(2)Jeshi la Ukraine halikuwa dhaifu kwa sababu liliimarishwa kwa zaidi ya miaka 8 kwa misaada ya silaha zenye thamani ya mabilioni ya$ na mafunzo ya kijeshi kutoka nchi za magharibi.

(3)Baada kuvamiwa Ukraine iliendelea kupata maasada wa silaha za mabilion ya dora na mpaka sasa nchi za magharibi zimesha toa silaha zenye thamani zaidi ya 75 bilion$ tangu vita ianze, pesa ambayo ni sawa na bajeti ya ulinzi ya Ufaransa na Uturuki kwa pamoja, pia pesa hiyo ni kubwa kuliko uchumi wa taifa lako. Mbali na silaha inazo pewa bado Ukraine inapekea msaada wa taarifa za kijasusi kutoka kwenye satalaiti zaidi ya 70 kutoka angani zinazo milikiwa na nchi za magharibi.

(4) Ukraine ina miji mingi na misitu, kitu kinacho ipa ugumu Urusi kuwalenga wanajeshi wa Ukraine maana ni wenyeji na wanaijua miji na misitu yao vizuri.

(5)kijografia Ukraine ni kubwa hivyo kufanya eneo la mapigano kuwa kubwa.

Kwa maelezo hayo utagundua kuwa vita ya Ukraine kuna mlinganyo wa nguvu kwa pande zinazo pigana hasa upande wa ardhini, kwa vita hiyo siyo rahisi kupata mshindi na wasipo kaa wakaelewana ili kuimaliza si ajabu miaka 10 ikakata, tofauti hapo labda nchi za magharibi zishitishe kupeleka silaha kwa Ukraine.
Alivyo na kichwa kizito sijui kama ataelewa
 
Nasikia akitoka hapo anaenda Ufaransa, Ugerumani, Uk, italy,kupewa msaada[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].kwa hali hii ushoga duniani ni ngumu kuisha
JamiiForums-2010874546.jpg
 
Interesting how people can cheat and be cheated...a fleet with nuclear submarines reduced to coastal defense floatilla?!?!!?! And, they expect people with military and geo-politics knowledge to believe this nonsense?!?!dah....and the capacity of ground forces reduced to 50 percent!!!!!!??? Duh
Aren't they the same dudes who claimed that Russia had only provisions for three days left!? I mean the British
 
Mzigo wa Tor -M2E short range air defence missile ukiwa umewasili Belarus kutokea Urusi[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]





Hahahaha soon zinaenda kugeuzwa chuma chakavu kama hizi[emoji116]

#Ukraine: Three more previously unseen Russian air defence losses from September- a 9A331 Tor-M1 TLAR, a 9A331M Tor-M2 TLAR, and a 9A317 Buk-M2 TELAR. From the appearance, they were hit by missile strikes.
 
Kweli Urusi ni Supa-pawa wa mchongo.........performance duni ya jeshi lake kwenye hii Vita imewaduwaza mpaka washirika wake wa JF.

Hapo ni Ukraine tu inamtoa jasho tena ni jirani kabisa, je ingekuwa nchi ya NATO iliyo mbali ?..

1954 TUJITEGEMEE lee van cliff ITR
Axel Lloyd HIMARS T14 Armata
Biden choose to disagree

"Direct confrontation btn NATO and Russia is WW3, sth we should strive to avoid"

Btw NATO vs Russia is pretty unfair. 30+ vs 1!???
 
Nasikia akitoka hapo anaenda Ufaransa, Ugerumani, Uk, italy,kupewa msaada[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].kwa hali hii ushoga duniani ni ngumu kuishaView attachment 2456491
Hiyo picha ya kutengeneza imewachota kabisa akili....

Picha halisi ni hii hapa.👇
 

Attachments

  • IMG_20221222_205658.jpg
    IMG_20221222_205658.jpg
    69.9 KB · Views: 12
Mm nimekupa mfano wa Marekani ili ujue hakuna jipya chini ya jua hivyo haina haja ya kuikejeri na kuidharau Urusi kwa anacho pitia nchini Ukraine, wakati hata huyo Marekani kashapitia magumu kuliko anayo pitia Urusi nchi Ukraine.
Haya magumu anayopitia Urusi ni ya kujitakia hivyo lazima apokee kejeli na dharau maana alijiona Supa-pawa.
 
Back
Top Bottom