Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mwisho wa siku na marekani ikapinduliwa na Taliban . sasa Taliban ndo wameshika inchi kumbuka lengo LA operation lilikuwa ni kulifuta kundi LA Taliban dogo kubali tu marekani kikeshi INA udhaifu mkubwa ndo maana makamanda wao walikamatwa wengi pale mariupolo [emoji3][emoji3]
Ilipinduliwa maneno kutoka kwa???

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
[emoji298]️Explosions reported near oil depot in Russian-occupied Crimea.

Late on Dec. 23, explosions were heard in Crimea near the oil depot in the village of Rozlyvy, 95 kilometers northeast of Simferopol.

A number of local social media channels published videos of explosions alleging that the accident took place after a drone flew by, the Ukrainian media reported. Occupation authorities have not commented on the accident.
 
Msafara wa Ukraine umekutana na tsunami [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]





 
Bakhmut.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]




 
Kwani hiyo sinimifano mnayotoa siku zote lleo huitaki kuisikia?

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Mkuu tukuachana na ushabiki na tukatumia hoja vita ya Iraq na Ukraine haifanani hata kidogo.

Tuanze na vita ya Iraq
(1)Cha kwanza Iraq ilivamiwa na Mataifa mawili makubwa yenye nguvu za kijeshi ulimwenguni ambayo ni Marekani na Uingereza ,na badae mataifa mengine ya NATO yakajiunga na vita hiyo, kwa hiyo Iraq ilipigana na mataifa mengi sema Marekani ndo inatambulika kwa sababu ndo alikuwa kinala wa huo uvamizi.

(2)jeshi la Iraq lilikuwa dhaifu sana na kwa kiasi kikubwa lilidhohofishwa na vita ya miaka 8 kati yake na Iran na lilidhohofika zaidi baada ya kuwekewa vikwazo vya kununua silaha na umoja wa mataifa baada ya kufanya uvamizi dhidi ya Kuwait.

(3)Iraq haikupata msaada wowote uwe wa silaha au kifedha.
(4)Iraq kijografia ni ndogo sana ukilinganisha na Ukraine jambo lillifanya eneo la mapigano kuwa dogo kitu kinacho mpa advantage mvamizi.
(5)Sehemu kubwa ya Iraq ni jangwa ivyo iliipa Marekani urahisi wa kuwalenga wanajeshi wa Iraq.
(6)Jeshi la Iraq lilikuwa na mgawanyiko kwa misingi ya kimadhehebu na kikabila, kitu ambacho ni sumu ndani ya jeshi lolote hata kama lingekuwa na nguvu kiasi gani, hali hiyo iliipa faida Marekani kiasi kwamba Marekani na washirika wake waliteka miji mingi bila upinzani wowote wa kijeshi.

Kwa maelezo haya utagundua hii vita ya Iraq mlinganyo wa nguvu ulikuwa haupo kabisa manaanisha upande wa wa Iraq ulikuwa dhaifu sana wakati upande wa Marekani na washirika wake ulikuwa na nguvu kubwa sana.

Tuje kwenye vita ya Ukraine.

(1) Ukraine imevamiwa na taifa moja ambalo ni Urusi.
(2)Jeshi la Ukraine halikuwa dhaifu kwa sababu liliimarishwa kwa zaidi ya miaka 8 kwa misaada ya silaha zenye thamani ya mabilioni ya$ na mafunzo ya kijeshi kutoka nchi za magharibi.

(3)Baada kuvamiwa Ukraine iliendelea kupata maasada wa silaha za mabilion ya dora na mpaka sasa nchi za magharibi zimesha toa silaha zenye thamani zaidi ya 75 bilion$ tangu vita ianze, pesa ambayo ni sawa na bajeti ya ulinzi ya Ufaransa na Uturuki kwa pamoja, pia pesa hiyo ni kubwa kuliko uchumi wa taifa lako. Mbali na silaha inazo pewa bado Ukraine inapekea msaada wa taarifa za kijasusi kutoka kwenye satalaiti zaidi ya 70 kutoka angani zinazo milikiwa na nchi za magharibi.

(4) Ukraine ina miji mingi na misitu, kitu kinacho ipa ugumu Urusi kuwalenga wanajeshi wa Ukraine maana ni wenyeji na wanaijua miji na misitu yao vizuri.

(5)kijografia Ukraine ni kubwa hivyo kufanya eneo la mapigano kuwa kubwa.

Kwa maelezo hayo utagundua kuwa vita ya Ukraine kuna mlinganyo wa nguvu kwa pande zinazo pigana hasa upande wa ardhini, kwa vita hiyo siyo rahisi kupata mshindi na wasipo kaa wakaelewana ili kuimaliza si ajabu miaka 10 ikakata, tofauti hapo labda nchi za magharibi zishitishe kupeleka silaha kwa Ukraine.
 
Back
Top Bottom