Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

To anyone who would consider interfering from the outside - if you do, you will face consequences greater than any you have faced in history,’ ........Rais Makini.
 

Attachments

  • Putin.jpg
    Putin.jpg
    34.1 KB · Views: 16
Majasusi wawili wa Putin,"FSB agents"
Walipuliwa kwa bomu ndani ya gari[emoji848]
......
Leteni uchambuzi tujifunze....sasa report kama hii inasaidia nini??Watu tunahtaji tujifunze, sio maswala ya breaking newa cheap....Pro -russia kucopy na kupaste picha za Ukraine kulipuliwa nayo haina maana, the same kwa pro-Ukraine...

Tubadirishe mtazamo wa huu uzi......Tujifunze
 
Kitendo cha majimbo mawili kujitenga bila vita na kujisalimisha kwa Russia, ni ushindi wa mapema sana kwa Urusi.

Na uwezekano mkubwa ni kwamba amepata ushirikiano wa Rais wa Ukraine (ingawa Marekani amekuwa akimchumbia kwa muda mrefu). Ili asiwe suspect, amemwachia Russia mnofu wa majimbo mawili wa kuanza nayo katika expansion yake. Baadaye soon Ukraine nzima itakuwa chini ya Russia.
Ulijitekenya na kucheka wewe mwenyewe..
 
Amazon Web Services imedownload Data zote kutoka Ukraine na kuzihifadhi ili kuzuia kufutika kwa Data na kumbukumbu maalumu za Ukraine.
Imefanyika chini ya Uangalizi wa Ukraine na Marekani, kwani lengo la Urusi ilikuwa kufutilia mbali kila kitu kuhusu Ukràine ikiwemo umiliki wa ardhi.

AWS ilipeleka vifaa maalumu vya kuchukua data na kuvipeleka nje ya Ukraine

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Wameziweka wapi kwenye clouds au stand alone server!!? Kumbuka Warusi ndio hackers hatari sana duniani.
 
Sijaipenda kabisa move hii ya pili.

Urusi imevamia Ukraine kijeshi nchi hiyo kwa kutumia majeshi ya anga,ardhini na nchi kavu.

Wamevamia kutoka Kila upande wa Ukraine.
Wanajeshi wa Urusi walionekana wakiingia mijini kutoka Kila upande.

Urusi imevamia Ukraine yote.
sio Tena majimbo yanayotaka kujitenga ya Donestk na Luhansk.

Jeshi la Urusi limevamia kwa kulenga na kupiga miji mikubwa kama Kiev,mariupol,Kharkiv,Odessa na Kramatorsk.

wenyewe Urusi wanasema wamepigwa sehemu za kijeshi TU na wala hawatashambulia maeneo ya kiraia.

Putin amesema lengo ni kudhoofisha uwezo wa kijeshi wa Ukraine.

Nimeshuhudia kupitia tv jengo moja kubwa nje Kuna askari wa Ukraine wanachoma nyaraka,mtangazaji anasema huenda ni jengo la Kijasusi. Helkopta za Urusi zimaonekana kutawala katika miji iliyovamiwa.

Karibu Mkuu wa NATO akijibu maswali amatanabahisha kuwa NATO haitapeleka wanajeshi wake. Marekani imelaaani na rais wa Marekani anaiombea kwa Mungu Ukraine katika kipindi hiki kigumu.

Waziri Mkuu wa UK amesema vikwazo vikali vitaongezwa.

Putin anasema hii ni Special operation yake ni kwa ajili ya "kui "neutrilize country's military capacity," kuiodhiofisha kijeshi Ukraine.

Rais wa Beralus amesema majeshi yake hayajaingia Ukraine kuongozana na Urusi ila yakihitajika yataingia.

Aisee hii Dunia haiko swa kabisa. Ukweli ni kwamba majeshi ya Urusi yanajipigia TU Kila yanapotaka

NATO wamemtosa Ukraine, Stoltenberg karibu Mkuu wa NATO anasema NATO jukumu lake ni kulinda Wanachama wake haitaingiza jeshi. Sasa sijui walipokua wanasogeza majeshi sijui walikua wanafikiria nini.sijui walipeleka ili kupiga picha!

Marekani kamtosa Ukraine,
Uingereza kamtosa ukraine.

Kusema kweli kutoka moyoni huruma imeniingia sikupenda move hii ya pili.
Mlivamia na mikwara kweli kweli.....
 
Jamaa anasambaza mabomu kama matone ya mvua. Hii vita ikimaliza siku nne basi hakutakuwa tena na nchi inayoitwa Ukraine
Teh teh teh 😂😂 Warusi weusi bhana....teh teh 😂
 
Ufaransa yafanya jaribio la ICBM. Hili kombora linabeba vichwa 6-10 vya nyuklia. Speed yake ni Mach 25....Range 10,000km.

 
KAZI IENDELEE

[emoji1255][emoji298][emoji635][emoji779][emoji779] A senior Ukrainian official warned of more explosions in Russia after the recent explosions at a Russian airbase.

"I have warned that explosions in Russia will be more and more every day ... not only there but also in many other cities," Danilov said. However, Mr. Danilov did not explain which explosion he was referring to.

Ukraine's Izvestia newspaper listed a series of explosions that occurred in Russia in the past week, including two in the Belgorod region, just 15km from the Ukrainian border. The third is an explosion at an oil refinery in Angarsk, Irkutsk region, eastern Siberia, thousands of kilometers from Ukraine, killing two workers and injuring five others.

Please assist us by clicking on the link below; it allows us to earn money and continue producing content that you enjoy.

1671813321904.jpg
 
KAZI IENDELEE

[emoji1255][emoji298][emoji635][emoji779][emoji779] A senior Ukrainian official warned of more explosions in Russia after the recent explosions at a Russian airbase.

"I have warned that explosions in Russia will be more and more every day ... not only there but also in many other cities," Danilov said. However, Mr. Danilov did not explain which explosion he was referring to.

Ukraine's Izvestia newspaper listed a series of explosions that occurred in Russia in the past week, including two in the Belgorod region, just 15km from the Ukrainian border. The third is an explosion at an oil refinery in Angarsk, Irkutsk region, eastern Siberia, thousands of kilometers from Ukraine, killing two workers and injuring five others.

Please assist us by clicking on the link below; it allows us to earn money and continue producing content that you enjoy.

View attachment 2456030
Na wenyewe wataendelezwa kubadilishwa kuwa jangwa
 
Sio kwamba Mvamizi ndio kajiponza?
Kwani vita sasa hivi inapiganiwa Urusi au?Si inapiganiwa ndani ya Ukraine na kuababisha mateso na vifo kwa raia wa Ukraine wakati raia wa Urusi maisha yanaendelea kama kawaida?
Ukraine imesha poteza zaidi ya aslimia 40 ya Uchumi wake na unazidi kuharibika kadiri vita inavyo endelea.

Miundo mbinu ya Ukraine ya kijeshi na kiraia yenye thamani ya bilion 670 $ imesha haribiwa.

Karibia asilimia 25 ya ardhi yake imechukuriwa.

Sasa ww tuambie ni nani aliye jiponza kati ya Urusi na Ukraine?
 
[emoji298]️ President Volodymyr Zelenskyi is ready to make new visits abroad if they will be of strategic importance for the victory of Ukraine, similar to the recent visit to the USA.

The head of state announced this at the Conference of Ambassadors of Ukraine.
 
Na wenyewe wataendelezwa kubadilishwa kuwa jangwa
Tutaelewana tu

[emoji298]️ Unknown persons set fire to the conscription office in the Saratov region of Russia, local media reports.

The fire broke out in the building of the military commissariat in the village of Ivanteyevka.

They found a plastic bottle of gasoline and probably oil and tried to set fire to the security guard’s office. The fire was put out, but the office was badly damaged by the fire. Now the police are looking for arsonists.

[emoji298]️ Garage boxes in the military unit caught fire in Moscow, Russian media reports.

The fire area is about 200 square meters. No casualties.

[emoji117]

It is reported that today an explosion occurred at an oil and gas condensate field in the Ust-Kutsky district of the Irkutsk region, Russia.
 
Assessment niliyofanya mpaka sasa kwa Russian landing forces, their military gears, troops, tectics nakuhakikishia Russia hana uwezo wa kuvamia Marekani. Labda hiyo Marekani uwe unaisema iliyochorwa kwenye kikaratasi chumbani kwako umeiweka uvunguni mwa kitanda. Poland tu the way walivyo wanaweza mount resistance kwa invading Russian forces. Uturuki hii pekee inaweza zuia landing kama iliyofanyika leo.

Silaha kubwa zilizotumika leo: ukituma Mi-8s na Ka-52s unakutana na MANPADS na short range air defence systems, ukituma tanks ardhini unakutana na Uturuki au Poland wanazo German made Leopard 2 na ATM za kutosha. Ukija na Sukhoi na MiG haziko stealth hata bila ground radar Poland wakinyanyua AWACS mbili tu angani zinatoa mwongozo wa fighters zao kushambulia adui akiingia anga lao. Russia ikitumia artillery, self propelled howitzers na MRLS kama Smerch, Uragan hao members wa NATO karibia wote huwa wana counter battery radars. Kitu pekee ambacho Russia ana edge ni missiles hizo Kalibr zilizotumwa kama 160 hivi. Russian navy ilikuwa na meli zaidi ya 12 baharini na imeteka mji wa Maliupol na navy base ya Ukraine. Meli zinaleta shida kiasi, hakuna ASM za range kubwa ila landing crafts zitazuilika. Kuna nchi kibao hapo zinaweza hold more than a month zikivamiwa na Russia.

Ukraine sio level za Urusi na haina silaha za kutosha, wala sioni kama ina mobilization ya maana, kwanza jeshi ni 160,000 hivi ukiongeza na reserve wasiofika milioni moja. Hata hivyo Ukraine imefanya counter attack mida ya jioni, imepeleka mashambulizi kujaribu kuzuia airports za karibia na mji mkuu kutekwa. Naamini wakishindwa wataweka craters kwenye runways ili ndege za Urusi zisitue hapo.

Siwezi ilinganisha Russian na Marekani, ikitokea vita kati yao doctrine zao zinaonesha kabisa kwamba Russia atakuwa na defensive position na US atakuwa na offensive position. Hatotokea mwanajeshi yeyote wa Urusi aingie ardhi ya Marekani. Kwa mfano atapita wapi na kwa kutumia nini?
Kuhusu nuclear capabilities achana na idadi ya warheads sema nuclear delivery systems, preemptive strike capability na response. Hawazidiani sana idadi ya makombora na hawahitaji kutumia hata robo yake kumaliza vita.

Vita ya Russia vs USA haipo. NATO vs Russia haipo zitakuwepo operations za kuunga mkono au kumpinga third party
Ulikuwa sahihi kabisa...hii comment ina uhai mpaka Sasa..
 
Ukraine hana la kufanya mpaka sasa, pamoja na kwamba Russia kaingia bila kutumia nguvu kubwa kama ilivyotarajia.
Ndio uwezo wake umeishia hapo..hakuna cha nguvu kubwa wala ndogo.

Hivi kuna mtu bado anaamini kuwa Ukraine anaweza kufanya resistance??
Hili mbona ni jibu kabisa ila umelifanya swali.
 
Back
Top Bottom