mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Marekani na NATO kwa ujumla wamemwingiza choo cha kike Rais wa Ukraine. Hakuna anayetia mguu kumsaidia zaidi ya kupiga makelele!
?engo la NATO ilikuwa ni:
1. Kutafuta sababu ili kuiwekea vikwazo vya kiuchumi URUSI. Lengo ni kuipunguza kasi ya maendeleo.
2. kufanyia majaribio silaha zao dhidi ya silaha za urusi.
Ukweli kwamba silaha zao za ulinzi wa anga zimeshindwa kuulinda uwanja wa Ndege uliopo Kiev lakini ukatekwa siku ya kwanza ya uvamizi, hapo ujue maji yamezidi unga!