STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
BREAKING: USA ready to help Zelensky leave Kiev - WaPo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi mungu ana matatizo, nae anashindwa vita hapa. Wafia dini watatuambia nini sijui. Eeh mungu mkuu tuma jeshi lako tukufu la Israel uikomboe ukraine baba. UNAITWA EEH MUNGU MWENYE ENZI MTUKUFU GOD.urusi ni miongoni mwa nchi zenye wayahudi wengi na ndio siri ya wao kuwa mahodari katika ubunifu wa kutengeneza zana bora za kivita hivyo hoja ya taifa la MUNGU haina mashiko hata urusi ni miongoni mwa nchi zenye wa Israel wengi sana
Pumbavu kama hizi ni za kutupwaa jalalani! Unaitwaa nyani na hao wapuuz na walowezi wa ardhi ya wapalestina! Israelites were never been white!!Mi naamini islael wakiinglia huu mzozo putini atakimbizwa sana. Kwanza akisikia tu kwamba islael wanatia mkuu, atastop Vita siku hiyo hiyo.
Lile ni taifa la mungu na ndo wababe wa Vita duniani hata urusi pale inakaliswa ma.tako.
Kwahiyo kwasasa Nchi ndogo ya Ukraine inapambana na nchi 3;Kwahiyo tangu leo asubuhi mpaka sasa majeshi ya Urusi yako yanapiganania kuuchukua mji wa Kyiv wakati walikuwa wamebakiza kilomita 10 kuingia central district. Yani tangu asubuhi mpaka sasa hivi wanapigania kilomita 10?
Jana hapa nilisema performance yao sio nilivyotarajia kuna watu walininanga, leo Warusi wamepewa wapiganaji 10,000 wa ziada wa Chechen. Ukraine imepata msaada wa silaha kidogo kutoka Poland mida ya jioni. Sikuwa nafikiria kama jeshi la Ukraine na raia wake wanaweza hold their positions mpaka usiku wawe na Kyiv
Kwahiyo kwasasa Nchi ndogo ya Ukraine inapambana na nchi 3;Kwahiyo tangu leo asubuhi mpaka sasa majeshi ya Urusi yako yanapiganania kuuchukua mji wa Kyiv wakati walikuwa wamebakiza kilomita 10 kuingia central district. Yani tangu asubuhi mpaka sasa hivi wanapigania kilomita 10?
Jana hapa nilisema performance yao sio nilivyotarajia kuna watu walininanga, leo Warusi wamepewa wapiganaji 10,000 wa ziada wa Chechen. Ukraine imepata msaada wa silaha kidogo kutoka Poland mida ya jioni. Sikuwa nafikiria kama jeshi la Ukraine na raia wake wanaweza hold their positions mpaka usiku wawe na Kyiv
Kumbe nawe ulishiriki kumpiga UK..ok mpigie simu putnKwanza kabisa nilikuwa miongoni mwa watu ambao wanashabikia Vita hivi vya Urusi na Ukraine Kama mechi ya Simba na Yanga. Lakini baada ya kuona jinsi Wanajeshi wa Ukraine wanavyoteketea Basi nakili kwamba,Vita ni mbaya Sana.
Putin nakuomba simamisha Vita vya Ukraine,huu ni unyama mkubwa dhidi ya binadamu.
Naomba nitoe tahadhari. Hii video ni hatari Sana,Picha na Video zinakirihisha. This is Madness. Binadamu wote tupinge Vita hivi.
View attachment 2130972
Wanadamu kwa unafikiiii... hivi middle east huwa hamwon Maiti za watoto??? Au waarabu sio watu ila wazungu wa Ukraine ndio watu...21+ hours passed huyu mtu hana wa kumwamisha baada ya kifo chake[emoji30][emoji24] inahuzunisha sanaView attachment 2131399View attachment 2131400
Mkuu, una shida mahali.Wanadamu kwa unafikiiii... hivi middle east huwa hamwon Maiti za watoto??? Au waarabu sio watu ila wazungu wa Ukraine ndio watu...
Wacha wapigane na wao ts non of our business
Chechnya sio nchi huru, ni republic ndani ya shirikisho la Urusi.Kwahiyo kwasasa Nchi ndogo ya Ukraine inapambana na nchi 3;
1.Urusi
2.Belarus
3.Chechnya.
Hii ni Aibu kubwa Sana. Ukraine kumbe Wanajeshi imara kweli kweli.
Nilikuwa nikiperuzi na freebasic hivyo sikuona chochote , ngoja niiicheki.Fungua hiyo.video mkuu usikilize...achq kubqniq bando...ukiondoa masuala Ukristo na Uhuru was Tanzania ,Mzee Mohamed ana madini
kuna mtu nilikuwa namwambia kuhusu hii vita Urusi atapata madhara makubwa ya kiuchumi kawekwa kwa mtego yeye hajui tuSaaana
Hawa mbwa wanajifanya hawaoni kinachoendelea Tigray pale...wanatetea wasen...wenzaoMkuu, una shida mahali.
Unashindwaje kuona maiti za watoto Kongo, Somalia, Sudani hata hapo Msumbiji tu, ukajengea hoja za Middle East?
Je, sisi weusi sio watu bali hao waarabu wenu na wazungu? Punguzeni Utumwa vichwa mwenu, mnakera sana.
Achana na huyo nanga! Wanaiona Ukraine ndiyo binadamu halisi kuliko watoto walioko Goma, kivu, Darfur, Tigray, mozambique, Nigeria, n.k?Mkuu, una shida mahali.
Unashindwaje kuona maiti za watoto Kongo, Somalia, Sudani hata hapo Msumbiji tu, ukajengea hoja za Middle East?
Je, sisi weusi sio watu bali hao waarabu wenu na wazungu? Punguzeni Utumwa vichwa mwenu, mnakera sana.
Zinawakula wao wenyewe ndo maana kuna sehemu wameogopa kuzigusa maana inakua kama kujipiga mwenyewe risasi ya mguuniSanctions ni kama kansa mkuu, huwa zinakula taratibu.
Tusubirie muda uongee
Haha wampeleke tu akaishi new york akaendelee na comedy zakeBREAKING: USA ready to help Zelensky leave Kiev - WaPo
Haha wampeleke tu akaishi new york akaendelee na comedy zake
Warusi wastaarabu Sana. Tofauti na wale wa upande ule.Vita haipiganwi kama kula maandazi na chai ya rangi unang'ata andazi popote tu hata umetizama kwingine.
Hapo kuna mission inatakiwa kukamilishwa ikiwemo kuepuka majeruhi na vifo vya raia, uharibifu wa miundo mbinu, kuwakamata walengwa wakiwa hai nk.
Urusi wamejipa saa 72 kukamilisha misheni yao. Leo rais wa Ukrain ndugu Zelesky akiongea toka mafichoni ameaga washirika wake wa NATO kuwa itakuwa mara ya mwisho kuongea nao kwani ndani ya saa 48 zijazo lolote laweza tokea kwake akiwa yeye ni mlengwa wa kwanza. Hizo saa 48 ukiongeza 24 zilizopita ni saa 72 za misheni ya Mrusi.
Vita sio maana wasio na hatia wanaumia kwa maslahi ya wapuuzi wachache