LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Naona tweet hiyo ya Anita Anand katika Twitter kwamba Canada will donate $7.8 million to the Armed Forces of Ukraine.
Sijui kama hivyo vijisenti kidogo vitawasumbua Warusi.
Lakini Putin amesema jana unequivocally,kwamba siyo tu hataki mtu yeyote aisaidie Ukraine,lakini pia hataki mtu yoyote atingishike kwa mawazo ya kutaka kuisaidia Ukraine.
Lakini kuna tatizo moja kwa Putin,ONLY ONE PROBLEM.Raia wengi duniani hawajui effect ya hizi modern weapons,hizi new wespons,na itatokea needless suffering watu wasopoelimishwa kwanza. Lakini kuhusu Canada nadhani kule watu wameshafanya drill za kutosha,na itakuwa advisable kama Putin ataipiga makombora Canada kesho asubuhi.
Putin sidhani kama anaiogopa sana hii vita. Ila hii diplomatic strangle hold is sure to trouble him. Hata Africa Union inalaani invasion ya Ukraine,saying ,with Biden,that it is unprovoked,without a cause.
Halafu Joe Biden amesema hataki kusikia mtu yoyote anamsapoti Putin.
And yet it is Ukraine which is the aggressor. Unakumbuka ile incident a few years ago,katika discussions in the Security Council ambapo yule mjumbe wa Ukraine anakatisha mjadala ghafla anamuuliza mjumbe wa Urusi,"Wewe,unataka kupigana? Sema,unataka kupigana?" Halafu yule mjumbe wa Urusi anatapatapa,anazungumza incoherent statements?
Lakini Putin ameiita hii "Special Operation' ,kwa maana kwamba itaisha baada ya muda mfupi,baada ya kufanikisha objectives fulani,askari wa Urusi wataondoka.
 
urusi ni miongoni mwa nchi zenye wayahudi wengi na ndio siri ya wao kuwa mahodari katika ubunifu wa kutengeneza zana bora za kivita hivyo hoja ya taifa la MUNGU haina mashiko hata urusi ni miongoni mwa nchi zenye wa Israel wengi sana
Basi mungu ana matatizo, nae anashindwa vita hapa. Wafia dini watatuambia nini sijui. Eeh mungu mkuu tuma jeshi lako tukufu la Israel uikomboe ukraine baba. UNAITWA EEH MUNGU MWENYE ENZI MTUKUFU GOD.
 
Mi naamini islael wakiinglia huu mzozo putini atakimbizwa sana. Kwanza akisikia tu kwamba islael wanatia mkuu, atastop Vita siku hiyo hiyo.

Lile ni taifa la mungu na ndo wababe wa Vita duniani hata urusi pale inakaliswa ma.tako.
Pumbavu kama hizi ni za kutupwaa jalalani! Unaitwaa nyani na hao wapuuz na walowezi wa ardhi ya wapalestina! Israelites were never been white!!
 
Kwahiyo tangu leo asubuhi mpaka sasa majeshi ya Urusi yako yanapiganania kuuchukua mji wa Kyiv wakati walikuwa wamebakiza kilomita 10 kuingia central district. Yani tangu asubuhi mpaka sasa hivi wanapigania kilomita 10?

Jana hapa nilisema performance yao sio nilivyotarajia kuna watu walininanga, leo Warusi wamepewa wapiganaji 10,000 wa ziada wa Chechen. Ukraine imepata msaada wa silaha kidogo kutoka Poland mida ya jioni. Sikuwa nafikiria kama jeshi la Ukraine na raia wake wanaweza hold their positions mpaka usiku wawe na Kyiv
Kwahiyo kwasasa Nchi ndogo ya Ukraine inapambana na nchi 3;

1.Urusi
2.Belarus
3.Chechnya.

Hii ni Aibu kubwa Sana. Ukraine kumbe Wanajeshi imara kweli kweli.
 
Kwanza kabisa nilikuwa miongoni mwa watu ambao wanashabikia Vita hivi vya Urusi na Ukraine Kama mechi ya Simba na Yanga. Lakini baada ya kuona jinsi Wanajeshi wa Ukraine wanavyoteketea Basi nakili kwamba,Vita ni mbaya Sana.

Putin nakuomba simamisha Vita vya Ukraine,huu ni unyama mkubwa dhidi ya binadamu.

Naomba nitoe tahadhari. Hii video ni hatari Sana,Picha na Video zinakirihisha. This is Madness. Binadamu wote tupinge Vita hivi.

View attachment 2130972
Kumbe nawe ulishiriki kumpiga UK..ok mpigie simu putn
 
Wanadamu kwa unafikiiii... hivi middle east huwa hamwon Maiti za watoto??? Au waarabu sio watu ila wazungu wa Ukraine ndio watu...
Wacha wapigane na wao ts non of our business
Mkuu, una shida mahali.

Unashindwaje kuona maiti za watoto Kongo, Somalia, Sudani hata hapo Msumbiji tu, ukajengea hoja za Middle East?

Je, sisi weusi sio watu bali hao waarabu wenu na wazungu? Punguzeni Utumwa vichwa mwenu, mnakera sana.
 
Kwahiyo kwasasa Nchi ndogo ya Ukraine inapambana na nchi 3;

1.Urusi
2.Belarus
3.Chechnya.

Hii ni Aibu kubwa Sana. Ukraine kumbe Wanajeshi imara kweli kweli.
Chechnya sio nchi huru, ni republic ndani ya shirikisho la Urusi.
Urusi Wana republics, Oblasts, Autonomous region, union, special military district bila kusahau special zone.
Vikosi vya Belarus havijaingia Ukraine ila amesema akiombwa hasiti kufanya hivyo
 
Fungua hiyo.video mkuu usikilize...achq kubqniq bando...ukiondoa masuala Ukristo na Uhuru was Tanzania ,Mzee Mohamed ana madini
Nilikuwa nikiperuzi na freebasic hivyo sikuona chochote , ngoja niiicheki.
 
Mkuu, una shida mahali.

Unashindwaje kuona maiti za watoto Kongo, Somalia, Sudani hata hapo Msumbiji tu, ukajengea hoja za Middle East?

Je, sisi weusi sio watu bali hao waarabu wenu na wazungu? Punguzeni Utumwa vichwa mwenu, mnakera sana.
Hawa mbwa wanajifanya hawaoni kinachoendelea Tigray pale...wanatetea wasen...wenzao

Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, una shida mahali.

Unashindwaje kuona maiti za watoto Kongo, Somalia, Sudani hata hapo Msumbiji tu, ukajengea hoja za Middle East?

Je, sisi weusi sio watu bali hao waarabu wenu na wazungu? Punguzeni Utumwa vichwa mwenu, mnakera sana.
Achana na huyo nanga! Wanaiona Ukraine ndiyo binadamu halisi kuliko watoto walioko Goma, kivu, Darfur, Tigray, mozambique, Nigeria, n.k?

Gaddafi alipopigwa kwenye ardhi ya Africa walilaani kama wafanyavyo sasa?
 
Sanctions ni kama kansa mkuu, huwa zinakula taratibu.
Tusubirie muda uongee
Zinawakula wao wenyewe ndo maana kuna sehemu wameogopa kuzigusa maana inakua kama kujipiga mwenyewe risasi ya mguuni
 
Vita haipiganwi kama kula maandazi na chai ya rangi unang'ata andazi popote tu hata umetizama kwingine.

Hapo kuna mission inatakiwa kukamilishwa ikiwemo kuepuka majeruhi na vifo vya raia, uharibifu wa miundo mbinu, kuwakamata walengwa wakiwa hai nk.

Urusi wamejipa saa 72 kukamilisha misheni yao. Leo rais wa Ukrain ndugu Zelesky akiongea toka mafichoni ameaga washirika wake wa NATO kuwa itakuwa mara ya mwisho kuongea nao kwani ndani ya saa 48 zijazo lolote laweza tokea kwake akiwa yeye ni mlengwa wa kwanza. Hizo saa 48 ukiongeza 24 zilizopita ni saa 72 za misheni ya Mrusi.

Vita sio maana wasio na hatia wanaumia kwa maslahi ya wapuuzi wachache
Warusi wastaarabu Sana. Tofauti na wale wa upande ule.
Tungekuwa tumeshashudia madaraja,vituo vya umeme, hospitali,vituo vya televishini na majumba ya raia yameshateketezwa wakisingizia kuwa zinatumia as a human shield.
 
Back
Top Bottom