Endelea kuamini hivyo.....na endelea kusubiriMrussi kajipanga na hakuna anaemtisha unafikiri hajui hivyo??? Zama za marekani soon zinapotea coz hata kiuchumi marekani kashaachwa na china muda sana sema data hazitoki sahihi.
Ukija kiuchumi russia anamilikia 75% ya mafuta na gas kwa Europe na nchi ya 2 kwa uzalishaji mafuta duniani akizuia na yeye unategemea nini?? Bei ya mafuta tayari imeshapanda. Lazima warudi mezani na mrussi ametengeneza uchumi wa kujitegemea hakuna wa kumtisha kwa sasa anajua nini anafanya sisi tusubir mwisho
Katika hili Putin kajinyea..time will tell.
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app