LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
U.S. Gasoline Prices Hit All-Time Highs, Reaching $4.17 Per Gallon - Auto Association.
 
Achana nae uyo,
Tatizo anasikiliza Sana propaganda za USA na kusoma tweet za Zelensky.

Yaan uyo akili yake imeishia hapo, kwanza hata hajui hata kile anachokitetea.

Mpuuze TU [emoji3525]
Wanajisahaulisha ni kuwa Miji iliyokuwa inanyanyaswa kwa miaka 8 saiv ndio imeanza kuresist, kwa msaada wa Russia.
 
Kaka mona unaongea kama kipofu kuhusu rangi???
1) hujui huyu Chechen hana uwezo? Anapiga kelele tu? Kwenye milima nyumbani kwaake Chechen aliwahi kuwapa Warusi matatizo makubwa. Maana walitetea nchi yao na (walivyoamini) dini yao ya Uislamu. Wakija Ukraine watakutana na wenyeji wanaotetea nchi yao, wakishambuliwa na Waislamu wa nje wanaweza kukumbuka pia wasikie kutetea makanisa yao. Kwa nini upumbavu wa kidume na makelele vinaweza kuvuta watu katika nchi hii ya TZ?

2. Unaelewa huyu kijana wa Chechen anamaanisha nini akisema anataka "kumaliza" (pamoja na hana uwezo halisi)? Ni ndoto yake ya kuchinja hovyo watoto, wazee, wakina mama, nyumba za familia.... Huyu unamshangilia? Aibu yako!
Ee Mungu shusha ubongo, umpe kidogo!
 
The European Commission's executive vice president said it would be "damn hard" for the EU to replace two-thirds of Russian gas this year, but it's possible - RIA Novosti.
 
Jibu la jepesi na ovyo kwenye maswali ya msingi
Hamna msingi wala kiuno. Wacha watwangane tu tuone mbabe nani, wote wana dhambi zao.

USA na Urusi mbabe wao ni Taliban wa Afghanistan tu, hakuna siri kwenye hilo, wote walitolewa "nduki" na mabavu yao.
 
Maneno mengi umeandika ila sijaona popote ulipoijibu hoja yangu,
ebu nenda sasa kwny point, hoja yako Ni ipi ktk point yangu.
 
In the village of Krymsky, abandoned by the Ukrainian military, they found an ammunition depot.

It was located 200 meters from residential buildings, and a huge arsenal of mines was stored there.

Video: Luganskinformtsentr
Your browser is not able to display this video.
 
Usitudanganye hapa.....
Chenchens ukiondoa kuwa good fighters hawana mpango wa Kuchinja yoyote.....
Ukiondoa Azov, ambao hata mimi ningepewa nafasi ningewamaliza.
Ya nini kuishi na mbaguzi duniani hapa.
 
The Deputy Head of the European Commission, Frans Timmermans, suggested that the Europeans lower the temperature in their apartments in order to make the EU more energy-sustainable in front of Russia.
 
Kwa hiyo kama tungekuwa na akili ndio ulitaka tufanyaje,tusijadili au?? Mbona hata hayo mataifa ya wenye akili nao wanajadili tena kwa ushabiki kama humu ndani.
 
Tatizo Russia na pro Russia mli underestimate Sana Ukraine,Ni kweli Ni weak country ukilinganisha na Russia,lakini Ukraine Ina support ya kimyakimya,ukiobserve tu hii Vita utaelewa Ukraine hayupo peke yake

And the saddest part is,Poland hawataki ngozi nyeusi,Mungu awasimamie wadogo zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…