LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Wanajeshi wa Ukraine Wanajifichaje kwa Raia? Kwani wao sio Raia wa Ukraine? Wao ni Raia usisahau wako huru kuwa popote kwenye nchi yao iwe kwenye nyumba za wa Ukraine wa kawaida au porini ni wako kwao.Huwezi kuwapangia kuwa wawe wapi.Ni nchi yao
Askari kujificha kwa raia ni uhalifu wa kivita. unawageuza raia ngao yako, hii itasababisha kushambuliwa kwa misafara hata ya harusi au nyumba za ibada wakidhani askari wamejificha humo
 
Toyota, the world's largest car manufacturer, is returning to the Russian market. Less than a week has passed since the announcement that Toyota and Lexus are leaving Russia.
SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
Toyota, the world's largest car manufacturer, is returning to the Russian market. Less than a week has passed since the announcement that Toyota and Lexus are leaving Russia.View attachment 2143361
Japan kaona bora akae mbali nchi zote zinazowekwa 'unfriendly list' na Urusi zinakuwa target ya moja kwa moja ikitokea vita na Japan wanajua madhara na maumivu ya Little boy ya Hiroshima na Fatty man ya Nagasaki hivyo hawezi kujiweka hatari kwa mizigo kama Poseidon na Satan
 
Back
Top Bottom