LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Russia is extremely concerned that nationalists in Ukraine may use chemical weapons - Russia's permanent representative to the OPCW Shulgin
 
Iran wakati imewekewa vikwazo Urusi ilikua inauza mafuta kama kawaida.
Sasa kwanini ionekane usaliti wakati Iran ni taifa huru na Lina maamuzi yake.
 
Mabeberu.....ndio hawa wametupa vijisenti hapo juzi kati, ndio waliinusuru Ethiopia na njaa kubwa kutokana na ukame, walidhibiti ebola pale west africa!,na ndio hawa wanaotufundishia wapiganaji wetu kuhusu mbinu za kukabiliana na modern terrorism!kweli sisi ni mabingwa wa kulalama keyboards
 
Iran wakati imewekewa vikwazo Urusi ilikua inauza mafuta kama kawaida.
Sasa kwanini ionekane usaliti wakati Iran ni taifa huru na Lina maamuzi yake.
Kama Iran, Venezuela na Iraq wakikataa kuuza Mafuta kwa Marekani na Ulaya Basi ujue Marekani na Ulaya hawawezi kuweka vikwazo vya Nishati kwa Urusi.

Kama Iran anaushirika wa kweli na Urusi Kama tunavyoaminishwa Basi asusie kuwauzia Mafuta Ulaya.
 
B52 Bado Ni bomber inayoendelea kutumiwa na jeshi la Marekani
 
Kaka mfumo wa SWIFT umefungwa kwa baadhi ya bank,na katika Bank zingine unaendelea kama kawaida.
 
Nyamizi Mkraine mwingine huyu. Sababu ya Urusi kukuambia hakuna taifa la kuipiga kwa sasa ni hoja yangu yenye mantiki kwa sababu mataifa yote yanamuogopa kwa kisingizio cha vita ya 3.
Wakati ule US wanavamia nchi zingine walikuwa pampja na Mungu kwa sababu hakukuwa na taifa ambalo lingeipiga US kwa wakati ule ?
 
Kama Iran, Venezuela na Iraq wakikataa kuuza Mafuta kwa Marekani na Ulaya Basi ujue Marekani na Ulaya hawawezi kuweka vikwazo vya Nishati kwa Urusi.

Kama Iran anaushirika wa kweli na Urusi Kama tunavyoaminishwa Basi asusie kuwauzia Mafuta Ulaya.
Kwanini Iran akatae wakati kipindi kile amebanwa na vikwazo Urusi iliendelea kufanya biashara kama kawaida. Na Mrusi hakuonekana msaliti?
 
NYUNDO YA MOTO huwa anadai anatoa taarifa zisizokuwa biased 😂.Mkuu hawa Pro Russia wenyewe wanaongea haya kuwapondea Mabeberu lakini wengine unakuta wanakula bata Nchi za Mabeberu au ndoto zao ni kwenda kuishi huko.Ikitokea wakapewa option ya kwenda kuishi Russia au USA sote tunajua watakimbilia kuishi USA.Twende nao hivyo hivyo hapa Jamvini lakini katika uhalisia wa maisha wote dreams zao ni kwenda kutafuta maisha au kuishi kwa Mabeberu

Swala la kuanzisha mashindano yake mwenyewe ya mpira nnje ya UEFA ni sawa na kuanzisha Ndondo Cup,hao Footbollers wa Russia wanadream na wanapenda kwenda kuchezea Clubs kubwa kubwa kwa Mabeberu leo hii uwafungie Russia na mashindano yako ya Ndondo Cup nani atakubali?

SLAVA UKRAINE.
 
Kumbuka USA alikuwa anavipiga nchi ndogo ndogo vya dunia ya tatu kwa msaada wa nchi wanachama NATO. Na katika harakati zake hakupata vitisho wala vikwazo toka nchi zote kaama ilivyo kwa sasa kwa Urusi.
Wakati ule US wanavamia nchi zingine walikuwa pampja na Mungu kwa sababu hakukuwa na taifa ambalo lingeipiga US kwa wakati uKumbuka USA anavamia vinchi vya dunia ya tat
 
Sijaona "human shield".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…