Yaani cruise missile itunguliwe na manpad [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Duh hiyo fighter jet tu kwasababu ya upaaji wake wa juu Sana si rahisi kutunguliwa kwa Manpads. I'la drone na helicopter Ni rahisi kutunguliwa na Manpads.
Tatizo hujapitia hata jkt boss wangu
Makombora yanatua kila mahali kila mji mpaka kwenye maofisi Yao si wanalindwa na air defence za USA unafikiria nini?[emoji23][emoji23][emoji23] bhas msishangae na hivyo vikombora vyenu vikitua mahali huko Ukraine maana air defense zinakua hazipo kwenye hilo eneo.
Hahahaha hamuamini mnachokiona eeehYaani cruise missile itunguliwe na manpad [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sicheki kwa matokeo isipokuwa uwasilishaji wako umenifurahisha.MATOKEO-Subway stopped working in Kharkiv
Wanajitahidi kuharibu miundombinu muhimu ya kiraia nadhani wameamua kugeukia hii njia.Kwahiyo warusi ndio utaratibu wao mpya wanarusha Makombora baada ya muda wanatulia,then wanarusha tena wanatulia mpk nahisi hao Ukraine wamezoea sasa...au ndio kisasi baada ya base Yao kupigwa juzi[emoji23][emoji23]
Ukraine kuwapiga Russia hawawezi. Kinachoonekana Russia inapiga inavyojisikia popote ndani ya Ukraine. Atakayeimaliza hii vita ni Russia yenyewe.Kharkiv inawaka moto[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Mzigo wa Patriot ukiingia huenda tukashuhudia mengi, labda Warusi wataegemea zaidi kwenye kurusha makombora ya masafa marefu kutokea Urusi au baharini au kutegemea 'drone' za waajemi zaidi ili kuzilinda ndege na helicopter zao.Fighter jet za Russia huko Ukraine zinaruka chinichini kukwepa Long Range air defenses kama S-300,zikija chini zinakutana na MANPADS. Ndege mfano Su-25 ni maalum Kwa Close Air Support,unakuta inakua shabaha kwa Manpads sababu inaruka chinichini.
Patriot inapelekwa moja tu ikiwa na 4launchers badala ya 8,itasaidia Kwa kiasi chake lakini haitakua mbadala sababu Russia akirusha Makombora anarusha mengi kuzi-overwhelm air defense za Ukraine.Mzigo wa Patriot ukiingia hilo anga halitapitika tena na ndege zao, labda watageukia kurusha makombora ya masafa marefu kutokea Urusi au baharini.....au kutegemea 'drone' za waajemi.
Sela Son Bwana Utam HIMARS
Supa-pawa kafaulu sana kuitesa Ukraine, bahati nzuri sana yeye hayarushwi kwake.Patriot inapelekwa moja tu ikiwa na 4launchers badala ya 8,itasaidia Kwa kiasi chake lakini haitakua mbadala sababu Russia akirusha Makombora anarusha mengi kuzi-overwhelm air defense za Ukraine.
Kwenye hii vita kuna kisichowezekana!? [emoji16]Hahahaha hamuamini mnachokiona eeeh
Kwenye mazoezi ya kijeshi yaliyofanyika Russia mwaka 2019, Igla-S Manpad (kama hiyo ilivyotungua Kh-101 cruise missile) ilifanikiwa kutungua Cruise missile halafu ProRussia mnashangaa[emoji23][emoji23][emoji23] ila mtazoea tu
Igla-S MANPAD teams repel cruise missile attack in south Russia drills
Military & DefenseApril 22, 2019, 12:06
The Igla-S is capable of striking targets at a maximum altitude of 3.5 km and at a distance of 6 km
MOSCOW, April 22. /TASS/. Troops armed with Igla-S man-portable air defense systems (MANPADs) repelled an attack by a notional enemy’s cruise missiles on a column of Buk-M2 surface-to-air missile complexes in drills in the southern Astrakhan Region, the press office of Russia’s Central Military District reported on Monday.
"During the drills, the notional enemy planned to deliver a missile strike against a formation of Buk-M2 air defense missile systems performing a march to the area of delivering fire. After detecting small-size targets, the teams of Igla-S man-portable air defense missile systems accompanying the column successfully destroyed the air targets, thus preventing the enemy’s air strikes," the press office said in a statement.
The drills involved about 500 troops and over 80 items of military hardware.
Igla-S MANPAD teams repel cruise missile attack in south Russia drills
Zelenskyy thanks soldier who shot down 2 cruise missiles with Stinger MANPADS
President Volodymyr Zelenskyy has commended Dmytro Shumskyi, a Ukrainian defender, who shot down two cruise missiles with Stinger MANPADS [man-portable air defence system - ed.] on 10 October.
Source: Zelenskyy’s evening speech
Quote: "At the request of the military command, I want to celebrate soldier Dmytro Shumskyi (anti-aircraft missile platoon of the 57th separate radio engineering battalion, Chernihiv front) for [his accomplishments] yesterday.
On October 10, Dmytro Shumskyi showed excellent skills and reactions and shot down two terrorist cruise missiles with the help of Stinger MANPADS.
One person saved dozens of lives. Thank you for that!"
Zelenskyy thanks soldier who shot down 2 cruise missiles with Stinger MANPADS
Nahisi SMO itakua ishasimama au kuidha kabla ya hizo patriot kuwasiliMzigo wa Patriot ukiingia huenda tukashuhudia mengi, labda Warusi wataegemea zaidi kwenye kurusha makombora ya masafa marefu kutokea Urusi au baharini au kutegemea 'drone' za waajemi zaidi ili kuzilinda ndege na helicopter zao.
Sela Son Bwana Utam HIMARS
T14 Armata
Hio layed sio rahisi MKUU hata huko DC au MOSCOW kama watu wataamua kupiga wanapiga tuuuPatriot inapelekwa moja tu ikiwa na 4launchers badala ya 8,itasaidia Kwa kiasi chake lakini haitakua mbadala sababu Russia akirusha Makombora anarusha mengi kuzi-overwhelm air defense za Ukraine.
Ukraine inahitaji air defenses nyingi za aina tofauti tofauti kutengeneza layered air defense.
We mwanamgambo wa Ukraine unalalamika nnUzi mtu mmoja ana comment page mbili peke yake kisa makombora yamepigwa Ukraine. Kiherehere cha nini msisubiri mpate habari muilete? Sasa unapitia comments unaona ni pointless za mtu yule yule.
Acha waendelee kuzima moto kwa mate[emoji1787]Sawa kwa sababu Urusi anapigana na maroboti[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Mkiambiwa mtaje list yenu mmekufa wangapi, kila mtu anaingia chocho.Ukitaka kupata jibu kamili la vita basi chukua habari za pande zotr mbili